nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 6,632
- 8,456
Kwa akili zangu finyu nimejikuta nawaza kuwa huenda kosa kubwa alilolifanya prof wetu, mlinzi wa pesa za umma ndugu CAG ni kutumia uhuru wake ipasavyo kama inavyosema katiba yetu.
Kwa kutumia uhuru huo amejikuta anagusa masilahi ya watu binafsi pasi na kuogopa hivyo inatakiwa alipe kwa kuutumia huo uhuru wake kwa masilahi mapana ya taifa letu.
Kama taasisi zote zingeweza kuutumia uhuru wao ipasavyo kama isemavyo katiba, basi taifa hili lingekua mbali sana kimaendeleo.
Naomba mnisamehe kwa mwandiko wangu mbovu