Habari wadau,katika pitapita yangu nimekutana na hii kitu kinaitwa mbinu 36 za kukabiliana na mpinzani wako.
Nimejaribu kudadavua kwa uelewa wangu mdogo nikagundua hii ni copy and paste of how...
"Guru" ni neno linalomanisha, aliyebobea, au mtaalamu wa kitu Fulani...basi kama kichwa cha habari kinavyosema
Kama wewe ni mbobezi wa masuala ya IT basi karibu PM tu share Jambo zuri sana...
Kimsingi maisha Ni mazuri na Sisi tunafurahia Sana kuzaliwa Tanzania na tumeuona ukweli wa Mambo toka tulipotoka na tunapokwenda.
Hakuna anayetuzuia kufanya mazoezi mida ya jioni,tunao Uhuru...
Nchi za Afrika Mashariki kwa kipindi cha miaka mitatu iliyopita, zimekuwa katika kasi ya harakati za manunuzi ya silaha za kivita bora zaidi zikiwemo ndege, magari na vifaa vingine ambapo Kenya na...
Habari wana jamvi? Rejea kichwa cha uzi juu hapo.
Kwanza kabisa nampongeza kijana mwenetu kwa bidii katika kazi aliachiwa na babake, Mo anakuja vizuri sana katika kila bidhaa kiasi kwamba Azam...
Serikali tuliyo nayo leo ni matokeo ya Kukosolewa na kujisahihisha kwa Chama Cha Mapinduzi.
Baada ya Mbunge J.Mnyika Kusema kuwa Rais wa awamu ya nne alikua dhaifu katika kushughulikia Mafisadi...
Wakuu
Saikolojia ni kitu cha ajabu sana sana, kwa ufupi watu wafupi hua wanakua kwenye kundi la watu wadhaifu na ambao huvuruga mambo mengi hata yasiyowahusu.
Hivo mtu mrefu anapaswa kuishi na...
Asalaam wakuu.
Kwa siku kadhaa nimekuwa nikiota nafanya mazoezi ya kijeshi,mara nyingine nipo nawinda porini huku nikiwa ndiyo mdungua wanyama.
Katika harakati za uwindaji tulikutana na nyoka...
Anayeua Watu kwa Kuwadungua ( Snipers ) na Yule anayeuwa Watu kwa kutumia Mapanga nani ambaye ana roho mbaya ambayo hata kwa Mwenyezi Mungu akiomba ' msamaha ' atakataliwa tu na Kuchomwa ' moto '...
Serikali imeombwa kuhamasisha ufugaji wa Ngamia hasa kwenye maeneo ambayo yamekuwa na migogoro kati ya wafugaji na wakulima , ili kupunguza migogoro hiyo ikiwemo
Akizungumza na waandishi wa...
Watu wengi tumejikuta hatupigi hatua hata kwenye mambo madogo kwa kuwa tumewekeza ndoto zetu kwenye mambo makubwa.
Unakuta mtu ambaye hajawahi hata kujenga vyumba viwili anawaza kujenga ghorofa...
Kuna jamaa mmoja ombaomba barabara ya morocco -mwenge -tegeta; huwa anashangaza sana na staili yake ya kuomba!
Haya nimaneno yake namnukuu; "Ndugu zangu mwenzenu naomba msaada, mke wangu...
Nimejiridhisha "washing machine" zinaniongezea bajeti ya kununua nguo,kutoka " pairs" tano(5) hadi kumi (10) kwa mwaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni hatua zipi zinahitajika mtu ujifunze kuwa sniper!?
Ni lazima upitie kuwa mwanajeshi au police?
Huwezi pata mafunzo yoyote nje ya jeshi ikiwa utahitaji kumiliki silaha yenye uzito huo kwa...
Mwanachama wa CCM mzee Lembeli anasema CCM ni chama kizuri ila baadhi ya viongozi na wanachama wake ni waongo, wanafiki tena wana roho mbaya sana.
Lembeli anasema aliondoka CCM na kuhamia Chadema...
JE KUMEFANYIKA TATHIMINI YA KUTOSHA AU MATAMKO YA MVUA
NAJUA KUNA FAIDA LAKINI TUANGALIE HASARA ZIFUATAZO
1.MAPATO KUSHUKA –hapa ni kwamba sasa hakutakuwa na wageni kutumia mawasiliano ya simu...
Moshi raha sana kwa upande wa huduma ya maji safi sa salama. Hata chakula tu kinapatikana sana na kwa bei nafuu mno.
Kuna skimu nyingi sana za umwagiliaji kwa ajili ya mazao ya mbogamboga na...