Wakuu nataka nani au ni bendi gani iliimba huu wimbo wa mapenzi haya kificho yanapoingia moyoni...Mtu chake apendacho, hakina hila machoni, huridhika kuwa nacho japo hakina thamani:sleepy:
Wakuu kama kichwa hapo juu kinavyojieleza, najua hakuna mwanadamu anayepumua pasi na kuwa na mawazo na mipangilio mbalimbali ya maisha yake. Hivyo basi kuna mazingira tofauti ambayo wengi...
Masudi ni jamaa wa kitaaa muda kidogo hapa maskani.namfahamu kwa jambo hili kubwa.ni mchakalikaji sana...anatafuta pesa kwa hali na mali na akiwa nazo utajua tu na watu wa karibu yake watajua...
Pole na majukumu yako ya Kila siku kuhakikisha wananchi na Mali zao wanakuwa salama saa 24 kwa wiki.
Nimepita eneo la Tandika na Yombo nimesikia wananchi wakilalamika kuwa kina mauaji ambayo...
Kesi ya kuendesha mtandao ambao haujasajiliwa Tanzania kwa kikoa cha CO.TZ (Tanzania Domain) inayomkabili mkurugenzi wa jamii Media, #maxence melo na mwenzake Mike Mushi imeshindwa kuendelea...
Kwa mujibu wa shahidi wa Kwanza kwenye kesi ya viongozi wa Chadema Ni kwamba polisi walitumia risasi za moto kutokana na Askari waliokuwa wakitumia mabomu ya machoz kushindwa kutumia mabomu hayo...
Ukiachilia mbali malipo yanayolipwa kama tozo ya kuvuka; Kama ilivyokuwa zamani GARI MOSHI lilivyotumia kuni na mkaa Tukaachana nalo;
Inashindikanaje Pia kuachana na hivi vivuko vya kizamani...
Mtoto anayekadiliwa kuwa na umri wa siku moja ametupwa chooni katika choo cha wasichana katika shule ya sekondari Kazima iliyopo manispaa ya Tabora na kusababisha taharuki kwa walimu na wanafunzi...
Ikumbukwe kuna siku Rais alitamani malaika washuke wafunge mitandao,naam naweza kusema ifikapo may 1 asilimia 95 ya watanzania watakuwa hawana simu za mkononi tena ,watumiaji wa internet...
Najua wapo watakao pinga ila haiwezekani we mwanaume unazeeka na mke wako anazeeka hii hapana.
Lazima upate mke mpya atakayeweza na kumudu kazi za kiunyumba n.k.
Unajua wanawake wakifika 50+...
Ukurasa wa 288 CAG amenikosha na kunisuuza moyo wangu. WE LOVE YOU CAG
Katika udondozi wake anasema kwamba kuna mkurugenzi wa Halmashauri alijilipa milioni 17 kusafiri nje ya nchi bila kibali cha...
Waungwana tuache masihara, Dar ina maeneo mengi machafu sana. Mifereji, gereji bubu na vitu vingine vinavyofanana na hivi vinazalisha harufu nzito.
Hiki kitongoji kinanuka sana.
Wakuu baada ya Jana kuweka kitasa kipya Leo, kimegoma kufunguka na funguo imenasia ndan, Mwenye ujuzi , idea au uzoefu
Naomben msaada Massa 2 sasa Niko nje
Kitengo cha kutoa liseni cha Manisipaa ya Temeke jitafakari maana naona hamuendani na kasi ya JPM.
Ikiwa nimelipa kodi ya mapato na kupata tax clearance toka TRA, nikaja kwenu na kulipa ada ya...
Inakuwaje au ilianzaanza vipi dunia nzima ikakubaliana kula mara tatu kwa siku.
breakfast
lunch
dinner
wajuvi wa historia ilianzaanza vipi hii kitu.
au ilianzia oldvai gorge kwa zinjantropa.
Wakuu habari? Mimi mwenzenu nikiri wazi kuwa nilisoma chuo kikuu cha Taifa cozi ikiwa ni Computer Science lakini nilitoka half cooked sikuwa nimeiva kabisa na hii ikanipa wakati mgumu sana kwenye...
Ukeketaji limekuwa janga kubwa katika jamii. Na kila ifikapo February 6, nchi ya Tanzania huungana na mataifa karibu yote ulmwenguni kuadhimisha siku ya kupinga ukeketaji. Historia ya ukeketaji...
Wakuu nimefuatilia suala la uber na app nyinginezo zinazotoa huduma zinazofanana na hii. Ukitizama dhana ya uundaji wa mtandao wa Uber kuachilia mbali kama fursa ya biashara ililenga kupunguza...
Haya ni baadhi tu ya matangazo ya Tigo niliyotumiwa ndani ya masaa 24 yaliyopita. Nilishaomba TCRA watuondolee hii shida. Matangazo haya hayana tija yoyote kwa watumiaji wa mtandao huu, na nina...
Kumekua na mambo mengi mtaani juu ya watu kudai wanatokewa na marehemu aidha kwa nia njema au mbaya
Wengine unakuta ni rafiki ndugu au jamaa ambao mlipendana sana hivyo hata akifa anakua...