Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Salary out naona wametoa mapema tutumie kwa makini
0 Reactions
3 Replies
837 Views
Hakuna mtu anayeitakia mema nchi yetu atakayekataa kwamba elimu yetu ina matatizo,tena matatizo makubwa. Visababishi vya matatizo hayo ni vingi,lakini kimoja wapo, tena cha msingi kabisa,ni...
3 Reactions
47 Replies
5K Views
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Tangu asubuhi nimeshindwa kuhamisha fedha zangu kutoka akaunti yangu ya CRDB na kuja kwenye namba yangu ya Mpesa ili nifanye matumizi kwa ajili ya Pasaka. Ikumbukwe kuwa nimeenda kijijini na huko...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimehitimu hiyo degree mwaka jana mwez wa7. Nilipokua chuo nilioa kabisaaaa, sasa bumu sinilikua nalo bwana na home kwetu walikua wananitumia za matumizi kila mwezi. Nimemaliza chuo ndio nikauona...
9 Reactions
16 Replies
2K Views
Hivi Ni nani huwa anakagua ubora wa huduma zinazotolewa katika hizi Day Care centres zinazoibuka kama uyoga kwa sababu ya wazazi kukimbia wajibu wao kwa kisingizio cha u-busy wa kutafuta riziki?
2 Reactions
4 Replies
837 Views
Naomba nianze na hili Nadhani kuna kitu ambacho madereva wa mwendokasi hawajui au waliaminishwa nje ya sheria na katiba! Ila nasikitika wamekuwa wakifanya ajali za makusudi bila wao kuwa hatiani...
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Wapendwa mbarikiwe na Bwana. Leo ni ijumaa kuu,na jamii your ya wakristo duniani wanaadhimisha mateso ya Bwana na mwokozi wetu Yesu Kristo.Tunapoendelea kutakiana amani ninawiwa kuwa kumbusha...
0 Reactions
7 Replies
761 Views
Naomba kujua faida za kutoboa toboa mwili kwa kuuchanja chale mwilini hii ni baada ya kutembea Mikoa hasa ya Kigoma, Shinyanga, Rukwa pamoja na Tabora. Kwa utafiti wangu wa muda mfupi kwenye mikoa...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Si mara ya kwanza kusikia mwito wa kututaka kwenda kusajiri line zetu za simu.. Zoezi hili lilishafanyika na tukaaminishwa hakutakua tena na wizi, matusi au uhalifu mwingine wowote lakini wizi na...
0 Reactions
5 Replies
836 Views
siku hizi kila mwanamke mjini ana wowowo na mguu wa bia softiiii; Nasikia kuna dawa wanatumia zimeingia za kichina, je? hazina madhara? kama zina madhara zimepita wapi? TFDA na police hizo promo...
2 Reactions
39 Replies
5K Views
Wanasayansi nchini Marekani wamefanikiwa kufufua ubongo wa nguruwe kwa saa nne baada ya mnyama hayo kuchinjwa. Japo uvumbuzi huo huenda ukazua mjadala kuhusu maana halisi ya tofauti kati ya uhai...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Kituo cha TV cha star TV kinachambua habari vizuri sana,pia ina vipindi vizuri sana lakini tatizo Picha zao ni pale(zimepauka) sana,hazina HD kabisa. Wenye TV ya star TV rekebisheni ubora wa Picha...
0 Reactions
0 Replies
976 Views
Nini madhara ya PID kwa wanawake? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ndio, nasema bado kidogo. Wao waendelee na sisi hayajatuchoma vizuri tutaamka tu. Inasikitisha. Wao wanasimama kwenye majukwaa wanasema dhahiri Watanzania sio wajinga. Huwa wanafatilia kila kitu...
11 Reactions
32 Replies
3K Views
Mkazi wa Bungu A, Fadhil Mahenge (27) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi kwa kutakatisha fedha kiasi cha Sh123 milioni kwa kutumia laini za...
1 Reactions
26 Replies
6K Views
Wadau nawaulizia wataalamu hao wa tiba asilia ,miaka minne iliyopita walikuwa wanaendesha vipindi vyao redioni na kwenye TV na watanzania tulip wachache tulikuwa tunapenda kuwasikiliza sana ...
4 Reactions
171 Replies
26K Views
Hivi karibuni kama miezi miwili au mmoja na nusu , kuna lorry la la futi arobaini lilipakia matofali usiku toka ktk huo mradi unaosimamiwa na TBA, jambo la kujiuliza , uhamishaji huo ulikuwa na...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Naona kitambulisho cha Taifa kimeshika hatamu kila sehemu kinahitajika KUPATA AJIRA KUPATA PASS YA KUSAFIRIA KUFUNGUA KAMPUNI USAJILI WA LAINI ZA SIMU Lakini cha ajabu katika kupiga kura ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kiukweli inakera sana na sijui viongozi wa serikali ya mtaa wanalionaje hili.kila mvua ikinyeesha tu kidogo wadau wa huu mtaa hutapisha vyoo vyao na hii hupelekea harufu kali sana kupenya kwenye...
0 Reactions
4 Replies
832 Views
Back
Top Bottom