ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,557
Si mara ya kwanza kusikia mwito wa kututaka kwenda kusajiri line zetu za simu.. Zoezi hili lilishafanyika na tukaaminishwa hakutakua tena na wizi, matusi au uhalifu mwingine wowote lakini wizi na utapeli ukaendelea
Ikaja vitambulisho vya kupigia kura zoezi lilifanyika likakamilika sasa hivi tunasikia tena lazima kujisajiri upya
Likafanyika zoezi la vitambulisho vya uraia ikaja semwa vitambulisho vya mwanzo havina signature hivyo kuna kila sababu ya zoezi kurudiwa!
Miaka nane iliopita lilifanyika zoezi kubwa la kupata passport mpya za digital tukaambiwa hiyo itakuwa mwisho wa maneno hizo pamoja na driving license mazoezi yale yalipokamilika imeonekana bado! Inabidi mtu kumiliki passport mpya! No wametoa hadi 2022 kuwa ndio mwisho wa passport hii watu tukakate mpya! Driving license nayo ikiisha muda kufanya renew ni kama unaenda aanza kuomba upya ilihali upo nayo zaidi ya miaka 20
Hivi tatizo liko wapi? Haya mazoezi si yanaigharimu serikali matrilion ya shilingi?
Nini shida ya watu wa takwimu tz?