Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

NDEGE kubwa zaidi duniani yenye injini sita aina ya Boeing 747 imeruka kwa majaribio mara ya kwanza mwishoni mwa wiki California, Marekani. Ndege hiyo ilifanya safari yake katika jangwa la Mojave...
2 Reactions
19 Replies
5K Views
Rais wangu mpendwa John Pombe Magufuli. Sisi watanzania tunaokupenda tunakutakia heri ya Pasaka. Mungu akutie nguvu, akupe maisha marefu ili uendelee kututumikia watanzania. Mwana Jf hebu sema...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
TCRA naombeni majibu haya kabla ya kuhitaji alama za vidole za kila mmiliki line, je technology ya kisasa imewashinda? TCRA wamenishangaza sana, wanataka alama za vidole kwa kila mmiliki wa line...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kama mkaazi wa Kivule/Kitunda, inaumiza sana kuona tuna mbunge ambaye haona aibu jimbo lake kuwa na barabara mbovu kuliko zote Dar esalaam. Barabara ya kutoka Ukonga Banana kupitia Kitunda, Kivule...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wana jamvi. Kama umeshawahi tumia internet ya smile, naomba mrejesho wako. Nafikiria kuanza tumia huduma yao. Je, speed ya internet ipoje? Kwa mkoa wa Dar na mikoa mingine? How reliable...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
  • Closed
Mimi binafsi nimeishi na watu aina mbalimbali ukiwa beach boy na unashiriki shughuli za uvuvi unakutana na watu wengi sana. Katika jamii nilizokaa nao waarabu wanaongoza hasa wale wanaotokea...
16 Reactions
278 Replies
27K Views
Miongoni mwa Project zilizoanzishwa kwa muktadha wa Public Private Partnership ni mradi wa mwendokasi. Kampuni iliyoshinda tenda ya ujenzi wa barabara na miundombinu ni Strabag kutoka Ujerumani...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
jamani ivi kwanini katika haya maisha kuna watu huwa sio waelewaaa hatukai kila binadamu ana shida lakini ni kwanini watu wengine sio waelewaaaa....... hebu fikiria mtu anakupiga mzinga au kibomu...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu zangu kitambulisho cha NIDA nilihangaika hakieleweki hadi leo,nimechoka na hii serikali ya kutishanatishana kila wakati Kuna uwezekano wa kutumia line ya safaricom Tanzania niombe jamaa...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Wakuu nipo katika kujifunza hapa. Naombeni fact za kisayansi zinazoonyesha kwa nini waundaji wa ndege wakaamua kuweka vioo vya duara (mayai) na sio pembe nne..
2 Reactions
17 Replies
5K Views
Tuwahini kwenye akaunti zetu wakuu, Kimfaacho ni chake hata kama kasungura kenyewe kadogo. Sikukuu oyeeeeeeeeeeee...
9 Reactions
121 Replies
15K Views
Wakuu. Nimewaza sana huu ukuu na utukufu tunaowapa viongozi hapa duniani tunamkosea sana Mwenyezi Mungu. Angalia sifa alizohitaji Muammar Gadafi leo yuko wapi, sifa na utukufu wa Saddam leo yuko...
2 Reactions
4 Replies
853 Views
habari wana JF.Mimi ni kijana mwenye umri usiozidi miaka 25 Ninampango wa kufungua kampuni ya biashara. Hivyo basi nilikuwa nahitaji watu ambao wapo tayari kufanya kazi namimi,hasa vijana...
0 Reactions
2 Replies
926 Views
Wakuu, Arusha imekuwa katika hali ya kutatanisha katika kipindi cha hivi karibuni, kumekuwa na matukio ya ajabu hasa milipuko ya mabomu ya hivi karibuni. Habari njema leo ni kwamba jeshi la...
29 Reactions
371 Replies
44K Views
Nikiwa mdogo, nimeenda kuanza sekondari huko kwa mjomba, ndani ya miezi sita tu tangu nianze kuishi na familia hio, asubuhi yake tulisikia gari la matangazo limekuja pale nyumbani linatangaza kuwa...
15 Reactions
49 Replies
5K Views
Habari wakuu,natumai hamjambo. Mimi ni jasilia Mali ninayejishughulisha na utengenezaji Wa kugandisha barufu kwenye ile mifuko midogo midogo mieupe ya plastic, changamoto Yangu kwa sasa ni...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari wana jamvi, SUMATRA ni chombo kinachohusika kusimamia viwango katika huduma ya usafiri wa nchi kavu na majini. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa kila nikipanda daladala au mabasi ya mikoani mara...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tunajifunza kiingereza ili tuwasiliane na wanyonyaji VIZURIi;na tukinyonywa vizuri tunalalamika VIBAYA. Hakuna nchi maskini duniani kama MAREKANI,na hakuna nchi tajiri duniani kama nchi...
2 Reactions
3 Replies
950 Views
Voo dooo ni uchawi maarufu duniani wenye asili ya Africa, lakini umevuka bahari na kuenea sehemu mbalimbali duniani. Mshana Jr nimewahi kusoma mahali Fulani kwenye machapisho yake kuwa uchawi...
6 Reactions
28 Replies
7K Views
Mkuu tunakuomba sana uiangalie barabara hii ambayo kwa sasa ina magari mengi.barabara hii ni finyu na inatumiwa na malori mengi ya mchanga mawe na kokoto yanayopanda na kushuka...toka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom