Waliokuwa wana hamisha Matofali Usiku Magomeni Quarters(Flats) walikuwa na Baraka Za TBA

August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
8,395
4,056
Hivi karibuni kama miezi miwili au mmoja na nusu , kuna lorry la la futi arobaini lilipakia matofali usiku toka ktk huo mradi unaosimamiwa na TBA, jambo la kujiuliza , uhamishaji huo ulikuwa na Baraka za wanaohusika, na kwanini shughuli hizo zilikuwa zinafanyika usiku?

TBA tunaomba maelezo
 
ulitakiwa uweke evidence na picha kabisa za huo usiku... ndipo TBA watatoa majibu... ila hawatajibu maneno ya kizushi tu kama huna ushahidi
Kama hawataki mamlaka husika watapata hizo data , kwa kuangalia nyaka za vitu viivyoingia na vitu vilivyo tumika, kama ulifikiri hawatakupata, unalo hilo. ikiwezekana aanza kukimbia au kutoa notisi ya 24 ya kuacha kazi.
 
Hivi karibuni kama miezi miwili au moja na nusu , kuna lorryla la futi arobaini lilipakia matofali usiku toka ktk huo mradiunao simamiwa na TBA, jambola kujiuliza , uhamishaji huo ulikuwa na Baraka za wanao husika, na kwanini shughuli hizo zilikuwa zina fanyika usiku? TBA tunaomba maelezo
umechelewa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mradi uliosimama huo.. Funds zimeenda kwenye miradi mikubwa.. Hapo watengenezewe watu ambao watakaa bure kwa miaka 5, inakuwa ngumu sana.. Ndio maana unaendelea kusuasua huo mradi..
Halafu kama kawaida yake anajifanya kuwatupia watu lawama watu wengine kumbe anajua kabisa kuwa pesa hawapi!!
 
Jamani mbona juzi pale prison amesema mpunga anatoa results haoni? Msema kweli mpenzi wa Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo lipo hivi hao ,kwenye tenda wanakuwa hawana mpinzani,kinachofanyika watu wanapewa mchoro wa jengo kisha mnapangiwa bajeti na kwa uoga mtu anakubali huku ki uhalisia anajua kabisa hiyo pesa ni kidogo,kazi inaanza mala paaa pesa mekwisha kazi ipo robo?!!anafanyaje kwenda kuomba nyingine msala anaona isiwe tabu kama ni kuja waje wafanye value for money wataona kweli ile pesa imetumika yote,unamfanya nini?ndio ina bidi ujifanye unawatoa unaleta hao wazee wa kazi,ila lazima uwape fungu jingine la kumalizia kazi hiyo!!hata ukiwa kiongozi acha wataalam wafanye kazi zao walizosomea!na ndio maana majengo mengi waliokabidhiwa hao yameshindwa kukamilika kwani bajeti haiendani na gharama halisi za ujenzi.Halafu badaye utasikia unaona mbona hawa wameweza si umewapa pesa halisi inayotakiwa?hata hao uliowatoa ungewapa pesa kulingana na bajeti halis kazi ngekwisha kwa muda.
 
Thotholitho
Mradi uliosimama huo.. Funds zimeenda kwenye miradi mikubwa.. Hapo watengenezewe watu ambao watakaa bure kwa miaka 5, inakuwa ngumu sana.. Ndio maana unaendelea kusuasua huo mradi..
Unga mkono juhudi za mheshimiwa, sifia Kila kitu, acha kuongea ukweli. Hii Nchi inaendeshwa na siasa na siasa ni kusema uongo.
Naamini umenipata sosoliso
 
Back
Top Bottom