Mbwarume Mwambawaleki
Member
- Nov 11, 2018
- 23
- 31
Wadau nawaulizia wataalamu hao wa tiba asilia ,miaka minne iliyopita walikuwa wanaendesha vipindi vyao redioni na kwenye TV na watanzania tulip wachache tulikuwa tunapenda kuwasikiliza sana ...
Nawaulizia tu boss wangu.. Nime miss tu lectures zao zilikuwa zinatusaidia huku majumbani .Unataka matibabu au taarifa zao?
una maanisha nao wamekuwakushnee! nao wamekuwa mashetan
Una maanisha Dkt dodi amekuwa tukunyema.Aliyepinga vitambi sasa hivi naye ana kitambi.
HahahaHakuna mtu namkubali kwa ubabaishaji kama Ndodi
N
Nawaulizia tu boss wangu.. Nime miss tu lectures zao zilikuwa zinatusaidia huku majumbani .
Kawaida sana maana Aliyegundua Mitihani naye alifeli!Aliyepinga vitambi sasa hivi naye ana kitambi.
Haha yani kwa kumuangalia tu unajua kabisa umekutana na mbabaishaji ila unashangaa kuna watu wanaingia mkenge!Hakuna mtu namkubali kwa ubabaishaji kama Ndodi
Utapeli wao ni kama Deci au D9. Muda ukifika na wameishapata pesa wanasepa kiana.Wadau nawaulizia wataalamu hao wa tiba asilia ,miaka minne iliyopita walikuwa wanaendesha vipindi vyao redioni na kwenye TV na watanzania tulip wachache tulikuwa tunapenda kuwasikiliza sana ...
Kama Rahabu,bei za mitishamba yake ilikuwa juu lakini uponyaji zero.Amepiga fedha sana.Pale Mwanza enzi hizo alikuwa anafikia Mwanza hotel,halafu foleni ya watu utadhani msururu wa watu wanaosubiri zamu kuingia chooni asubuhi maeneo yetu yale pendwa ya tandale kwa Mtogole,Temeke,Manzense,Mwananyamala na Ubungo Maji.Tubadilike na tuchukue hatua Watanzania wenzangu,tusiwape hela wenzetu hawa na tiba zao za danganya toto.Kawaida sana maana Aliyegundua Mitihani naye alifeli!
Watu wakishakua na majanga wanakua desperate sana.... ndo mana siku hizi Tanganyika kunaongoza kua na MITUME NA MANABII wengiKama Rahabu,bei za mitishamba yake ilikuwa juu lakini uponyaji zero.Amepiga fedha sana.Pale Mwanza enzi hizo alikuwa anafikia Mwanza hotel,halafu foleni ya watu utadhani msururu wa watu wanaosubiri zamu kuingia chooni asubuhi maeneo yetu yale pendwa ya tandale kwa Mtogole,Temeke,Manzense,Mwananyamala na Ubungo Maji.Tubadilike na tuchukue hatua Watanzania wenzangu,tusiwape hela wenzetu hawa na tiba zao za danganya toto.