Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakubwa wote shikamooni ........!!!!Leo nimejifunza kitu kikubwa humu nimetambua kua kumbe tuna baba zetu humu, Muda mwingine tunawatolea kauli chafu kabisa tunahisi tuko Na jamaa zetu wakaribu ...
1 Reactions
58 Replies
3K Views
Najaribu kupata makadirio ya kodi, kwa Nissan Dualis ya 2007 CC 1990, siioni katika list ya TRA, mwenye kufahamu makadirio ya hii gari naomba msaada tafadhali
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wana jf epukeni kushirikiana uovu na watawala mtawala akikushirikisha uovu mkwepe siku akikaribia anguko lake atakuuwa kuficha taarifa zake zusivuje Soma kisa hiki Hapo zamani palikuwa na...
7 Reactions
22 Replies
3K Views
Punguza gharama ya matumizi ya umeme kwa kutumia #Vyungu kama mbinu mbadala wa kuzalisha joto kwajili ya vifaranga. Fahamu kuhusu vyungu vya kulea vifaranga kwa lengo la kuokoa gharama za kutumia...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Habarini wanajamvi naomba kuuliza mimi nipo ferry nataka kwenda kibiti, Magari ya kibiti yanapatikana wapi na bei yake ipoje???
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Baba Diamond, Abdul Juma amefunguka ishu ya kusainiwa WCB kwenye lebo ya mtoto wake Diamond Platnumz. Mzee juma amesema kuwa kwenye mambo ya kutafuta riziki anaweza akaajiriwa na mwanae huku...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naweka wazi kabisa ili nisije kulaumiwa kwa yatakayotokea kanisani baadaye , kumcha Mwenyezi Mungu ni pamoja na kuukataa unafiki hadharani , ikitokea Wanasiasa wenye makandokando yanayofahamika...
18 Reactions
85 Replies
7K Views
Hakuna asiyekunywa maji hapa Tanzania,wote tunakunywa maji.kuna brand kibao za maji Safi na salama ya kunywa.ebu tuambie wewe Ni maji gani haswa unayakubali sana..Mimi binafsi napendelea sayona na...
1 Reactions
48 Replies
8K Views
Habari za muda huu, Baada ya kuona uzi huu Hospitali ya Eternal international ikishirikiana na madaktari bingwa kutoka china inakupa ofa kuja kufanya chekup ya mwili mzima - JamiiForums Ambao...
0 Reactions
36 Replies
13K Views
Wakuu habari zenu. Kumekuwa na mrundikano wa nyuzi nyingi za kutoa tahadhari za HIV na UKIMWI humu jukwaani karibu week nzima. Si kitu kibaya, ni jambo jema. Ila mi nna concern yangu. Huo UKIMWI...
7 Reactions
30 Replies
5K Views
nadhani itakuwa ngumu kunielewa ila ndo ukweli! mke wa rafiki yetu chimbambazi! amemsaliti mmewe akaenda kutembea na mme wa mtu mwenye mme kajua na kumwendea kwa sangoma pale SUMBAWANGA .yani...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
MOSHI JUMLA ya Mashahidi 34 wanatarajia kutoa ushahidi katika shauri la mauaji ya kukusudia ya mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Scholastica iliyopo Himo,Humphrey Makundi. Mbali na Mashahidi...
5 Reactions
19 Replies
4K Views
Ndugu, habarini za asubuhi, naomba kufahamu namna ya kuagiza mzigo kwa kutumia hawa DHL kwenda mikoani ( procedures zao pamoja na ghamara ) Natanguiza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nahitaji gari za kukodi kwa matumizi binafsi kwa mwanza? Nani mwenye kujua kampuni yoyote labda tusaidiane wadau?
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Ngeleja azua tafrani ATM NI BAADA YA KUTAKIWA AWAPISHE WATEJA Sadick Mtulya WAZIRI wa Nishati na Madini, William Ngeleja, juzi alizua tafrani kwenye mashine ya kuchukulia fedha (ATM) ya...
0 Reactions
384 Replies
38K Views
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA)jaribuni kufuatilia utendaji wa kazi wa wahudumu kwa wateja mikoa ya IRINGA na MBEYA mjionee hali ilivyo upigaji unaofanywa kwa wateja wanaohitaji huduma...
0 Reactions
3 Replies
917 Views
Huu utaratibu mpya wa kujisajili upya tena kwa kitambulisho kimoja tu cha taifa ni janga. Tatizo sio hizo finger prints tatizo Ni aina ya kitambulisho kinachotakiwa. Kama nia yenu ni kuongeza...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu zangu, salaam. Binafsi nipende kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa zawadi ya uhai. Nilibahatika kukutana na video niliyoambatanisha na ilinikwaza nafsi yangu mpaka nikafikia kuandika humu...
8 Reactions
24 Replies
3K Views
Wanasemaa kabla ya kuporomoka na kutengeneza ile crater mlima ngororongoro ulikuwa na Urefu wa kati ya mita 4500-5800. kilimanjaro una 5889. Kilichotokea ni kwamba Volcano ililipuka kwa mara ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukristo na uislam zote hizi zinaitwa Abrahimic religions. Najaribu kufikiri Adam,Hawa,Nuhu,Musa,Ayubu,Yusufu, Isaka,Ismail,Daudi,Selemani.Issa bin Mariam (YESU) Wote hawa wako pande zote za dini...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom