Kama zina madhara zimeingiaje? kama hazina nafikiria kumpaka mke wangu nae avimbe

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,284
21,403
siku hizi kila mwanamke mjini ana wowowo na mguu wa bia softiiii;

Nasikia kuna dawa wanatumia zimeingia za kichina, je? hazina madhara? kama zina madhara zimepita wapi? TFDA na police hizo promo huko instagram hawazioni?

kama hazina madhara niambieni nami nikampake mke wangu hata usiku wa manane akiwa amelala!!
Maoni yenu wadau!!!
cc#ummy mwalimu
 
Kwann ww ulioa ambae hana wowo wakati hisia zako mkuu zipo kwenye wowo.
kaka kwani nilikuwa naoa matako au mtu? nataka kuimalisha utalii Wa ndani? by da way mada ni je hizo dawa zina madhara au hazina?
 
Kuna jamaa alipaka mafuta ya mkewe bila kuuliza akijua ni mafuta tuu ya kawaida na hivi yako kwa dressing table akaona si mbaya kushea na "my wife"wake ..kumbe yale mafuta yalikuwa ya kuongeza nema za Allah,.wooiii acha aanze kufura huko nyuma,takotako mwanaume yaani kakatika mashAllah sanchi akasome,.looh mwanaume kazi hazinogi teeena mambo yashakuwa mambo..

Turudi kwa topic;kama hazina madhara mbona wachina wenyewe hawatumii? Wako bampa2bampa ina maana hao hawataki good looking?? Na kama zina ingia nchini ina maana serikali haijaona bado kama kuna tatizo mahali..ukitaka kumpaka mkeo shaurianeni.
 
sawa kakini kwani TFDA wanazitambua? au zimekuja kinyemela zinauzwa kama bangi?
 
Kuna jamaa alipaka mafuta ya mkewe bila kuuliza akijua ni mafuta tuu ya kawaida na hivi yako kwa dressing table akaona si mbaya kushea na "my wife"wake ..kumbe yale mafuta yalikuwa ya kuongeza nema za Allah,.wooiii acha aanze kufura huko nyuma,takotako mwanaume yaani kakatika mashAllah sanchi akasome,.looh mwanaume kazi hazinogi teeena mambo yashakuwa mambo..

Turudi kwa topic;kama hazina madhara mbona wachina wenyewe hawatumii? Wako bampa2bampa ina maana hao hawataki good looking?? Na kama zina ingia nchini ina maana serikali haijaona bado kama kuna tatizo mahali..ukitaka kumpaka mkeo shaurianeni.
Kawada tu mbona Tanzanite haitumiki Arusha wkt ndo inatoka!
 
kaka kwani nilikuwa naoa matako au mtu? nataka kuimalisha utalii Wa ndani? by da way mada ni je hizo dawa zina madhara au hazina?
Mkuu zina madhara hutokuja uamini yan hata hivyo vikalio utakosa.
 
Back
Top Bottom