wakikosi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,354
- 1,494
Kituo cha TV cha star TV kinachambua habari vizuri sana,pia ina vipindi vizuri sana lakini tatizo Picha zao ni pale(zimepauka) sana,hazina HD kabisa.
Wenye TV ya star TV rekebisheni ubora wa Picha kwenye TV channel yenu.Lakini kwenye mambo mengine mko vizuri sana.
Wenye TV ya star TV rekebisheni ubora wa Picha kwenye TV channel yenu.Lakini kwenye mambo mengine mko vizuri sana.