Usikate tamaa hakika inawezekana!!!

Usikate tamaa hakika inawezekana!!!

Kasomeko

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
627
Reaction score
1,215
Nimehitimu hiyo degree mwaka jana mwez wa7. Nilipokua chuo nilioa kabisaaaa, sasa bumu sinilikua nalo bwana na home kwetu walikua wananitumia za matumizi kila mwezi. Nimemaliza chuo ndio nikauona mziki mzito ila nashukuru uamzi wangu wa kuoa nikiwa mwaka wa mwisho chuoni.

Kwanza kabisa ilinisaidia sana kupunguza matumizi aseee nilikua sili chuo wa hotelin yaani nilikua natoka geto nishakunywa chai na nikirudi nakuta msosi upo tayari. Sikua na habari na videmu vya chuo vipenda hela nilikua bize na mke wangu ambae hakua anasoma.

Mke alinishaeishi na kunisaidia sana kununua nunua tu vitu twa ndani kama vile jiko kubwa la gesi, jokofu, tv, radio (wanachuo wengi wanao huo uwezo). Hivi vitu vilikuja kua msaada mkubwa sana kwetu baada ya chuo maana tuliuza visivyobebeka kiurahisi kama jokofu etc tukapata hela ya kusafilisha vingine na kupanga kachumba huko mkoa B!

Tupo mtaani sasa, mke wangu hana kazi!!! Mimi sina kazi!!!! Nikaenda kuongea na wazazi kua ninataka kuoa rasmi sasa, wakakataa kata kata wakidai sijakua, sina biashara iliyosimama wala sina ajira!!! Mama anasema wewe unataka kuoa wakat wenzio bado wanasoma hizo mahari tunatoa wapi? Baada ya kusimamia msimamo wangu, wazaz wakasema OA LAKINI USITUHUSISHE KWA LOLOTE LILE.

Majukumu yakaanzia hapo sasa, nikiwa mtoto wa bibi/ mama/ baba nisiejua kazi yoyote zaidi ya kula na kulala nikaona kabisa naenda kuishi maisha ya tabu ambayo sikuwahi kuyaishi ila nikajipa moyo kua nitaweza.

Nilianza na vibarua vya saidia fundi, nikiwa nikiwa nalipwa kati ya elfu 7 hadi 10 kwa kutwa na siku moja moja elfu40 ( hapo unashinda na unakesha ukikoroga zege ). Siku vibarua vya saidia fundi vikikosekana naenda halmashauri kuangalia kibarua chochote. Huko utakuta watu wanachukua tenda mbali mbali nawe unapata kibarua hapo mfano kufyeka kando kando ya barabara kuu ambapo unahesabiwa liurefu la kilomita moja ulifyeke lote kwa elfu15 hadi 25 kulingana na upana na wingi wa majani.

Kuna kipindi nilijaribu machimboni ila nikashindwa, sio kwa sababu ya ugumu wa kazi bali kwa sababu upatikanaji wa dhahabu ulikua ni kubahatisha sanaa hivyo nikaona hapo kuna hatari ya kumlaza njaa mke wangu bora nikakomae na vibarua vya kutwa ambavyo vinalipa keshi kwa siku japo ni kidogo kuliko kusubili milioni za kwenye dhahabu ambazo sijui zitapatikana lini.

Baada ya kujua kua nimeshakua "mtu wa makazi magumu" nikaamua sasa kua natunza pesa kwaajili ya kununua vifaa vyangu vya kazi. Nilianza na koleo moja, keaajili ya kuchanganyia zege n.k, baadae nikanunua fyekeo!!! Tangu mwezi wa saba mwaka jana hadi leo nina makoleo kibao, mafyekeo ya kutosha!!! Nyundo, mabox ya kufyatulia beacons (vigingi vya mipaka ya viwanja), misumeno n.k.

Tabia ya kununua vifaa ilinisaidia sana sana kupata vibarua mapema maana waajiri waliona nawapunguzia mzigo wa kukodi ama kununua vifaa vipya na pia ilikua nikienda na vifaa vyangu ilisaidia sana kupiga kazi haraka mfano tupo vibarua watatu halafu bosi katupa koleo moja tu hapo kazi itaenda taratibu ukilinganisha na pale tunapokua na makoleo matatu kila mtu na lake hakuna kupokezana.

Ilifikia kipindi nikaanza kuvikodisha sasa hapo nikaanza kuiona faida. Nikaanza kupata na tenda kabisaa. Siku ya kwanza kupata tenda ilikua ya kufyatua beacons 999 ambayo ni sawa na laki tano!!!! Sikua na hela ya kulipa watakao nisaidia ila nikaenda kuzifyatua maana vifaa vyote ni vyangu. Nilitafuta vijana watatu wakunisaidia kukoroga zege tukapiga kazi, siku mbili kuanzia saa11 asbuhi hadi saa tatu usiku. Nilipokabidhiwa laki5 sikuamini niliwalipa elfu 40 kila mmoja nkabakiwa na laki 4 maana elfu20 tulitumia kwa chakula. Niliendelea kupata tenda nyingi za kufyatua beacons na kukodisha vifaa. Nina vibiashara mjinga kama vya kuuza karanga, miwa, kahawa za kutafuna ( mwani/akamwani japo mie sio mhaya wala mnyambo) huko nimeajili vijana wadogo wadogo wasio soma.

Hadi leo hii hizo ndio kazi zangu, sina kinyongo na wazazi wangu na nina watembelea kama kawaida nao wanakuja kwangu. Bahati nzuri tayari wamenielewa mzee ananiambia sasa umeonyesha wewe ni mwanaume ukihitaji kuongezewa mtaji wewe njoo tuongee[emoji3] [emoji3] [emoji3] na kile kiwanja cha paleee chukueni (mzee sio mchovu yuko njema sana).

Kwahiyo vijana wenzangu kwanza kabisa tafuteni sababu za kupambania, kwa upande wangu sababu iliyonifanya nipambane ni kuhakikisha namtunza mke wangu na kuwasaidia kwao maana ni masikini na wazazi wake ni wazee. Kwetu hawahitaji msaada wangu hata chembe labda siku nikimzidi mzee hela ndio nimjengee ghorofa nimnunulie na land cruiser.

Mliopo chuo hata msiogope kuoa OENI tu mtatumia pesa zenu vizuri kununua samani, nk. Badala ya kumnunulia magauni kila demu unaekutana nae OA umnunulie mmoja tu mkeo. Kama mkeo hasomi mnunulie hata deli auze maji na soda huko mjini etc. Kama unakosoma upo karibu na viwanda uwe unaenda huko mida ya usiku unapiga vibarua asbhi unarudi na elfu10 yako.

KAMA HUJAFA MAISHA LAZIMA YAENDELEE TU.
 
Picha zinagoma zikikubali nitaedit Uzi uwe na picha maana nimekua napiga picha na video fupi kila hatua ninayopitia.
 
Kuna muda maisha yakibana baada ya kumaliza chuo inatakiwa kuweka degree pembeni. Hongera mkuu umeonesha nia
 
Nimehitimu hiyo degree mwaka jana mwez wa7. Nilipokua chuo nilioa kabisaaaa, sasa bumu sinilikua nalo bwana na home kwetu walikua wananitumia za matumizi kila mwezi. Nimemaliza chuo ndio nikauona mziki mzito ila nashukuru uamzi wangu wa kuoa nikiwa mwaka wa mwisho chuoni.

Kwanza kabisa ilinisaidia sana kupunguza matumizi aseee nilikua sili chuo wa hotelin yaani nilikua natoka geto nishakunywa chai na nikirudi nakuta msosi upo tayari. Sikua na habari na videmu vya chuo vipenda hela nilikua bize na mke wangu ambae hakua anasoma.

Mke alinishaeishi na kunisaidia sana kununua nunua tu vitu twa ndani kama vile jiko kubwa la gesi, jokofu, tv, radio (wanachuo wengi wanao huo uwezo). Hivi vitu vilikuja kua msaada mkubwa sana kwetu baada ya chuo maana tuliuza visivyobebeka kiurahisi kama jokofu etc tukapata hela ya kusafilisha vingine na kupanga kachumba huko mkoa B!

Tupo mtaani sasa, mke wangu hana kazi!!! Mimi sina kazi!!!! Nikaenda kuongea na wazazi kua ninataka kuoa rasmi sasa, wakakataa kata kata wakidai sijakua, sina biashara iliyosimama wala sina ajira!!! Mama anasema wewe unataka kuoa wakat wenzio bado wanasoma hizo mahari tunatoa wapi? Baada ya kusimamia msimamo wangu, wazaz wakasema OA LAKINI USITUHUSISHE KWA LOLOTE LILE.

Majukumu yakaanzia hapo sasa, nikiwa mtoto wa bibi/ mama/ baba nisiejua kazi yoyote zaidi ya kula na kulala nikaona kabisa naenda kuishi maisha ya tabu ambayo sikuwahi kuyaishi ila nikajipa moyo kua nitaweza.

Nilianza na vibarua vya saidia fundi, nikiwa nikiwa nalipwa kati ya elfu 7 hadi 10 kwa kutwa na siku moja moja elfu40 ( hapo unashinda na unakesha ukikoroga zege ). Siku vibarua vya saidia fundi vikikosekana naenda halmashauri kuangalia kibarua chochote. Huko utakuta watu wanachukua tenda mbali mbali nawe unapata kibarua hapo mfano kufyeka kando kando ya barabara kuu ambapo unahesabiwa liurefu la kilomita moja ulifyeke lote kwa elfu15 hadi 25 kulingana na upana na wingi wa majani.

Kuna kipindi nilijaribu machimboni ila nikashindwa, sio kwa sababu ya ugumu wa kazi bali kwa sababu upatikanaji wa dhahabu ulikua ni kubahatisha sanaa hivyo nikaona hapo kuna hatari ya kumlaza njaa mke wangu bora nikakomae na vibarua vya kutwa ambavyo vinalipa keshi kwa siku japo ni kidogo kuliko kusubili milioni za keenye dhahabu ambazo sijui zitapatikana lini.

Baada ya kujua kua nimeshakua "mtu wa makazi magumu" nikaamua sasa kua natunza pesa kwaajili ya kununua vifaa vyangu vya kazi. Nilianza na koleo moja, keaajili ya kuchanganyia zege n.k, baadae nikanunua fyekeo!!! Tangu mwezi wa saba mwaka jana hadi leo nina makoleo kibao, mafyekeo ya kutosha!!! Nyundo, mabox ya kufyatulia beacons (vigingi vya mipaka ya viwanja), misumeno n.k.

Tabia ya kununua vifaa ilinisaidia sana sana kupata vibarua mapema maana wasjiri waliona nawapunguzia mzigo wa kukodi ama kununua vifaa vipya na pia ilikua nikienda na vifaa vyangu ilisaidia sana kupiga kazi haraka mfano tupo vibarua watatu halafu bosi katupa koleo moja tu hapo kazi itaenda taratibu ukilinganisha na pale tunapokua na makoleo matatu kila mtu na lake hakuna kupokezana.

Ilifikia kipindi nikaanza kuvikodisha sasa hapo nikaanza kuiona faida. Nikaanza kupata na tenda kabisaa. Siku ya kwanza kupata tenda ilikua ya kufyatua beacons 999 ambayo ni sawa na laki tano!!!! Sikua na hela ya kulipa watakao nisaidia ila nikaenda kuzifyatua maana vifaa vyote ni vyangu. Nilitafuta vijana watatu wakunisaidia kukoroga zege tukapiga kazi, siku mbili kuanzia saa11 asbuhi hadi saa tatu usiku. Nilipokabidhiwa laki5 sikuamini niliwalipa elfu 40 kila mmoja nkabakiwa na laki 4 maana elfu20 tulitumia kwa chakula. Niliendelea kupata tenda nyingi za kufyatua beacons na kukodisha vifaa. Nina vibiashara mjinga kama vya kuuza karanga, miwa, kahawa za kutafuna ( mwani/akameani japo mie sio mhaya wala mnyambo) huko nimeajili vijana wadogo wadogo wasio soma.

Hadi leo hii hizo ndio kazi zangu, sina kinyongo na wazazi wangu na nina watembelea kama kawaida nao wanakuja kwangu. Bahati nzuri tayari wamenielewa mzee ananiambia sasa umeonyesha wewe ni mwanaume ukihitaji kuongezewa mtaji wewe njoo tuongee[emoji3] [emoji3] [emoji3] na kile kiwanja cha paleee chukueni (mzee sio mchovu yuko njema sana).

Kwahiyo vijana wenzangu kwanza kabisa tafuteni sababu za kupambania, kwa upande wangu sababu iliyonifanya nipambane ni kuhakikisha namtunza mke wangu na kuwasaidia kwao maana ni masikini na wazazi wake wazee. Kwetu hawahitaji msaada wangu hata chembe labda siku nikimzidi mzee hela ndio nimjengee ghorofa nimnunulie na land cruiser.

Mliopo chuo hata msiogope kuoa OENI tu mtatumia pesa zenu vizuri kununua samani, nk. Badala ya kumnunulia magauni kila demu unaekutana nae OA umnunulie mmoja tu mkeo. Kama mkeo hasomi mnunulie hata deli auze maji na soda huko mjini etc. Kama unakosoma upon karibu na viwanda uwe unaenda huko mida ya usiku unapiga vibarua asbhi unarudi na elfu10 yako.

KAMA HUJAFA MAISHA LAZIMA YAENDELEE TU.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa mkuu ngoja na mimi niOE maana mwaka wa mwisho huu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] oa mkuu na msuli ndio unapanda zaidi hutawaza mambo ya kupika sijui kuosha vyombo wewe ni kusoma tu
 
[emoji485][emoji485][emoji485]Cheers Mkuu kumbe kuoa ni dili eeh acha na mm nitafute zigo niweke ghetto
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] oa mkuu na msuli ndio unapanda zaidi hutawaza mambo ya kupika sijui kuosha vyombo wewe ni kusoma tu
Ila najaribu kuwaza kwa sauti navyopenda kugegeda ntasahau mpaka chuo alaf itakuwa mtihani nyumbani kirudi na 2.7[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Richa ya kufanya yote hayo kuoa kwako haikuwa risk kwasabu kwenu kuna-booster mzazi yupo vizuri, ila mimi izo pesa za kuspend kuoa bora nispend kwenye biashara mapema.
 
Nimehitimu hiyo degree mwaka jana mwez wa7. Nilipokua chuo nilioa kabisaaaa, sasa bumu sinilikua nalo bwana na home kwetu walikua wananitumia za matumizi kila mwezi. Nimemaliza chuo ndio nikauona mziki mzito ila nashukuru uamzi wangu wa kuoa nikiwa mwaka wa mwisho chuoni.

Kwanza kabisa ilinisaidia sana kupunguza matumizi aseee nilikua sili chuo wa hotelin yaani nilikua natoka geto nishakunywa chai na nikirudi nakuta msosi upo tayari. Sikua na habari na videmu vya chuo vipenda hela nilikua bize na mke wangu ambae hakua anasoma.

Mke alinishaeishi na kunisaidia sana kununua nunua tu vitu twa ndani kama vile jiko kubwa la gesi, jokofu, tv, radio (wanachuo wengi wanao huo uwezo). Hivi vitu vilikuja kua msaada mkubwa sana kwetu baada ya chuo maana tuliuza visivyobebeka kiurahisi kama jokofu etc tukapata hela ya kusafilisha vingine na kupanga kachumba huko mkoa B!

Tupo mtaani sasa, mke wangu hana kazi!!! Mimi sina kazi!!!! Nikaenda kuongea na wazazi kua ninataka kuoa rasmi sasa, wakakataa kata kata wakidai sijakua, sina biashara iliyosimama wala sina ajira!!! Mama anasema wewe unataka kuoa wakat wenzio bado wanasoma hizo mahari tunatoa wapi? Baada ya kusimamia msimamo wangu, wazaz wakasema OA LAKINI USITUHUSISHE KWA LOLOTE LILE.

Majukumu yakaanzia hapo sasa, nikiwa mtoto wa bibi/ mama/ baba nisiejua kazi yoyote zaidi ya kula na kulala nikaona kabisa naenda kuishi maisha ya tabu ambayo sikuwahi kuyaishi ila nikajipa moyo kua nitaweza.

Nilianza na vibarua vya saidia fundi, nikiwa nikiwa nalipwa kati ya elfu 7 hadi 10 kwa kutwa na siku moja moja elfu40 ( hapo unashinda na unakesha ukikoroga zege ). Siku vibarua vya saidia fundi vikikosekana naenda halmashauri kuangalia kibarua chochote. Huko utakuta watu wanachukua tenda mbali mbali nawe unapata kibarua hapo mfano kufyeka kando kando ya barabara kuu ambapo unahesabiwa liurefu la kilomita moja ulifyeke lote kwa elfu15 hadi 25 kulingana na upana na wingi wa majani.

Kuna kipindi nilijaribu machimboni ila nikashindwa, sio kwa sababu ya ugumu wa kazi bali kwa sababu upatikanaji wa dhahabu ulikua ni kubahatisha sanaa hivyo nikaona hapo kuna hatari ya kumlaza njaa mke wangu bora nikakomae na vibarua vya kutwa ambavyo vinalipa keshi kwa siku japo ni kidogo kuliko kusubili milioni za kwenye dhahabu ambazo sijui zitapatikana lini.

Baada ya kujua kua nimeshakua "mtu wa makazi magumu" nikaamua sasa kua natunza pesa kwaajili ya kununua vifaa vyangu vya kazi. Nilianza na koleo moja, keaajili ya kuchanganyia zege n.k, baadae nikanunua fyekeo!!! Tangu mwezi wa saba mwaka jana hadi leo nina makoleo kibao, mafyekeo ya kutosha!!! Nyundo, mabox ya kufyatulia beacons (vigingi vya mipaka ya viwanja), misumeno n.k.

Tabia ya kununua vifaa ilinisaidia sana sana kupata vibarua mapema maana waajiri waliona nawapunguzia mzigo wa kukodi ama kununua vifaa vipya na pia ilikua nikienda na vifaa vyangu ilisaidia sana kupiga kazi haraka mfano tupo vibarua watatu halafu bosi katupa koleo moja tu hapo kazi itaenda taratibu ukilinganisha na pale tunapokua na makoleo matatu kila mtu na lake hakuna kupokezana.

Ilifikia kipindi nikaanza kuvikodisha sasa hapo nikaanza kuiona faida. Nikaanza kupata na tenda kabisaa. Siku ya kwanza kupata tenda ilikua ya kufyatua beacons 999 ambayo ni sawa na laki tano!!!! Sikua na hela ya kulipa watakao nisaidia ila nikaenda kuzifyatua maana vifaa vyote ni vyangu. Nilitafuta vijana watatu wakunisaidia kukoroga zege tukapiga kazi, siku mbili kuanzia saa11 asbuhi hadi saa tatu usiku. Nilipokabidhiwa laki5 sikuamini niliwalipa elfu 40 kila mmoja nkabakiwa na laki 4 maana elfu20 tulitumia kwa chakula. Niliendelea kupata tenda nyingi za kufyatua beacons na kukodisha vifaa. Nina vibiashara mjinga kama vya kuuza karanga, miwa, kahawa za kutafuna ( mwani/akamwani japo mie sio mhaya wala mnyambo) huko nimeajili vijana wadogo wadogo wasio soma.

Hadi leo hii hizo ndio kazi zangu, sina kinyongo na wazazi wangu na nina watembelea kama kawaida nao wanakuja kwangu. Bahati nzuri tayari wamenielewa mzee ananiambia sasa umeonyesha wewe ni mwanaume ukihitaji kuongezewa mtaji wewe njoo tuongee[emoji3] [emoji3] [emoji3] na kile kiwanja cha paleee chukueni (mzee sio mchovu yuko njema sana).

Kwahiyo vijana wenzangu kwanza kabisa tafuteni sababu za kupambania, kwa upande wangu sababu iliyonifanya nipambane ni kuhakikisha namtunza mke wangu na kuwasaidia kwao maana ni masikini na wazazi wake ni wazee. Kwetu hawahitaji msaada wangu hata chembe labda siku nikimzidi mzee hela ndio nimjengee ghorofa nimnunulie na land cruiser.

Mliopo chuo hata msiogope kuoa OENI tu mtatumia pesa zenu vizuri kununua samani, nk. Badala ya kumnunulia magauni kila demu unaekutana nae OA umnunulie mmoja tu mkeo. Kama mkeo hasomi mnunulie hata deli auze maji na soda huko mjini etc. Kama unakosoma upo karibu na viwanda uwe unaenda huko mida ya usiku unapiga vibarua asbhi unarudi na elfu10 yako.

KAMA HUJAFA MAISHA LAZIMA YAENDELEE TU.
Hongera sana mkuu kama hii stori ni ya kweli.

Ila ukweli ni kwamba ukioa mapema unakuwa una uwezo mkubwa sana wa kutatua changamoto za kifamilia katika maisha yako kwa sababu umejua ndoa mapema.

Ukioa mapema lazima uumize kichwa na kujiona umeshakuwa na mke anataka kula na hapo utabuni kibarua chochote kile cha kufanya.

Ukioa mapema unakuwa na uzoefu na mkeo na kuna asilimia kubwa ndoa kudumu maisha yenu yote.

Ndoa ngumu mwaka mmoja wa mwanzo tu kwa sababu bado mwasomana somana.ila mkizoweana mnakuwa marafiki wakubwa sana.

Ukioa mapema una uwezo mkubwa wa kutokuchepuka katika ndoa yako kuliko ukichelewa kuoa.

Vijana msiogope kuoa kisa maisha.
Kama unapata pesa ya kula kwa siku na kukaa papo hata kama umepanga basii oa tu.

Kila mmoja anakuja na riziki yake.

Ukiwa na mkeo jua kwamba Mungu ile rizki ya mkeo anampa kupitia wewe hivyo ni jambo jema sana.
 
Pambana mzee baba...kufanikiwa lazima kuna kastori kanakokusukuma....

Tayari unayo. Usikate tamaa tu.
 
Richa ya kufanya yote hayo kuoa kwako haikuwa risk kwasabu kwenu kuna-booster mzazi yupo vizuri, ila mimi izo pesa za kuspend kuoa bora nispend kwenye biashara mapema.
Ungekua wewe huenda ungeweka chuki na wazazi wako milele maana wameanza kuja kwangu baada ya Mimi kukaa sawa. Hapo sijasimulia kila kitu mkuu. Binafsi nimelala nimeshinda na kulala njaa huko machimboni wakati wazazi wana uwezo wa kunipa hata mtaji wa milioni20. Yani ni kwamba tulitengana kabisaa mkuu halafu kuhusu hela walizokua wananitumia nikiwa chuo ni za kawaida sana ambazo ni vijana wengi tu walikua wanatumiwa
 
Mkuu still ulikuwa na bado unayo background booster mie iyo kutumiwa sijawai zaidi ya mimi kulipia mpaka kiasi cha ada | So nachomaanisha kwamtu kama mimi kufanya hivyo Rask zaidi kuliko kwako wewe kimsingi nina mzigo mzito, nina deni zito.
 
Back
Top Bottom