Ofcourse udhaifu umeongezeka katika vijana ila hivyo hivyo rasilimali zimepungua au zipo limited, ajira zimekwisha, pesa haipo tena mtaani lakini pia wapumbavu kaka na baba zao bado wapo maana...
Watoto wa baba mmoja mama mmoja mmeamuwa kuondoka kwapamoja yaani ndani ya mwezi mmoja na nusu kuondoka watu wawili daaaaa mnge muhulumia mama yenu wadogo wangu. Ila yote nayote pumzikeni kwa...
1. Kulipwa Pensheni Nzima (Full Pension) mara moja, bila malipo ya kila mwezi baada ya hapo; au
2. Kulipwa Kiinua Mgongo pamoja na Pensheni ya Kila Mwezi hadi mwisho wa maisha ya mstaafu.
Jamaa kamaliza chuo since 2015, matarajio yake yalikuwa this time lazima alambe ajira.
Surprisingly hajaona jina lake.
Alichofanya amenunua k-vant chupa kubwa kajifungia ghetto kwake huku...
Hazina, hivi matatizo gani?Watu tumelalamika na kusema kwamba pension ya wastaafu wanayolipwa na Hazina ilipwe kwa wakati,kama vile wanavyolipa Social Security Funds kama PSSS,lakini...
Bunge limeombwa kujadili na kuidhinisha makadirio ya mapato na matumizi ya Mafungu nane ya Wizara ya Fedha pamoja na Fungu 45 la Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kwa mwaka wa fedha 2026/27 yenye jumla ya...
Dodoma 2 Juni, 2026: Serikali kupitia Wizara ya Fedha imeliomba Bunge kuidhinisha jumla ya shilingi trilioni 21.3 kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu ya Wizara hiyo pamoja na taasisi zake kwa...
Msimu huu wa mvua sisi wakazi wa Goba tumekutana na changamoto kubwa ya ubovu wa miundombinu.
Mtaa wa Bonde kati ya Shule ya Living Minds/Kanisa la RGC na Matosa umeharibika kabisa, magari ya...
Tunawashukuru sana uongozi wa JamiiAfrica kwa kupigania hili jukwaa la kitanzania kwa ajili ya watanzania. Kufungia jukwaa ilikuwa sawa na kutuziba pumzi.
Tunaiomba serikali iache utaratibu huu...
Kesho jumatano kutakuwa na kilio kingine cha mafuta kupanda tena ni muda WA kujipanga tena kisaikolojia na maisha magumu tena.
Adui ya nchi hii anaenda kuwaumiza tena wananchi huku nchi jirani...
Katika Uzi huu naomba sote kwa pamoja tumuambie neno ndugu yetu Lucas Mwashambwa .Linaweza kua neno la faraja au lakufedhehesha ila kwa kifupi ujumbe ufike kwa ndugu yetu huyu kulingana na vile...
Nadaiwa 150 na nilikubaliana na mdeni namlipa hela yake tarehe 3 mwezi huu wa 6.
Hela nimepata ila kifaa cha ofisini kimekufa leo leo na spea kupafa ni mpaka niagize chini haizidi 40 ila pia...
Mimi sio Ccm
Niwasalimie kwanza; chei chei
Sihusiani na CCM wala siopendi lakini nimependa utulivu wa yule mama na utulivu wake baada ya kutenguliwa
Ukizingatia na skendo aliyokuwa akihusishwa...
Hamjambo nyie waja
Binafs sitaki niulizwe, yaani ukute leo nimetoa uzi mimi mwizi, kesho kutwa mimi askofu au sheikh sitaki niulizwe au nikumbushiwe
Uwa nawa replesent watu wangu wa karibu, sasa...
Inadaiwa aliyehukumiwa kwenye ile kesi maarufu ya wafanyabiashara ya madini yupo Uraia kitambo tu.
Je, alikata rufaa tena baada ya rufaa ya kwanza kushindwa!? Jinsi ile kesi ilivyokamata vichwa...
Wanabodi
Huu ni uzi wa ushauri wa bure wa angalizo la kiusalama kuhusu makabila ya Tanzania hayafanani!,kuna makabila laini laini unaweza kuwachezea wengine hadi kucheza nao kidali po,na kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.