Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na uchunguzi wa tukio la mauaji ya kikatili ya mwanafunzi wa Chuo cha IFM, James Rogers Temba, ambaye mwili wake ulikutwa ukielea kwenye maji...
Unajua kwenye muda mchache nilioishi duniani, nimekuja kugundua kuwa madhehebu na dini nyingi za sasa zinafanya watu wajisikie vizuri na sio kuwa watu wema. Maana nikiangalia kwenye nyumba nyingi...
Ushauri Dkt. Garvin Kweka kwa wazazi ili kuwasaidia watoto kukabiliana na msongo wa mawazo na changamoto za afya ya akili katika umri mdogo.
Dkt. Kweka anashauri wazazi kuwafundishwa watoto...
Barabara ya Tatedo iliyopo katika mtaa wa Kunguru Kata ya Goba jijini Dar es Salaam ni kama imesahaulika, kwani licha ya juhudi zilizofanywa na wakazi wa eneo hilo, tangu mwaka 2020, mpaka leo...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinapokea kwa mikono miwili uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania uliotamka kuwa Kanuni ya 8 ya Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (Maudhui ya...
Kuna mabadiliko makubwa kwenye sera za Marekani kuhusu utoaji wa visa barani Afrika. Marekani imepunguza idadi ya balozi na ofisi za ubalozi zinazoshughulikia maombi ya visa kutoka 50 hadi 20...
Kama una miaka 40+ na bado unaishi nyumba ya kupanga ukiwa na familia, jiulize upya kuhusu mwelekeo wa maisha yako. Je, uko kwenye njia sahihi ya kujenga mustakabali wa familia yako, au umekwama...
Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew, ametoa maelekezo kwa Mtendaji Mkuu wa DAWASA kuhakikisha changamoto ya upatikanaji wa maji katika Jimbo la Segerea inapatiwa ufumbuzi wa haraka na wa...
Hali ni mbaya kwa wamiliki wa Diesel.
===========
Mabadiliko ya bei za mafuta nchini kwa mwezi Juni 2026 yameathiriwa kwa kiasi kikubwa na mzozo unaoendelea kati ya Marekani, Israel na Iran...
- Tanzania yaendelea kuwa na bei nafuu kulinganisha na nchi nyingi
- Petroli: Tanzania Sh.4,086, Kenya Sh.4,339, Uganda Sh.4,485, Rwanda Sh.5,230, Malawi Sh.9,314 | Dizeli: Tanzania Sh.4,333...
Wakati wa ziara yake nchini Urusi, Rais Samia atafanya mazungumzo rasmi na Rais Putin huko Kremlin Moscow. Mazungumzo yatazingatia kuimarisha ushirikiano katika sekta za kimkakati ikiwemo...
Mimi ni mkazi wa mtaa wa Oloresho, kata ya Olasiti, wilaya ya Arusha Mjini. Kwa kweli tunapitia hali ngumu sana kwa sasa kutokana na uharibifu wa barabara yetu.
Hii hali imeanza tangu mkandarasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.