Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,447
- 110,235
Habari.
Kuna mtu anauliza taratibu za kuanzisha app kwa hapa tanzania hadi iweze kua downloaded playstore/App store.
Je, ni taratibu zipi anahitaji kufuata?
Je itahitaji kwenda Tra,Tcra,Brela nk? Au unaanzisha kwanza kisha ndio unaenda kufuata utaratibu wa kiserikali?
Je kwa Tanzania ni kampuni ipi bora zaidi ya Developer?? Na vitu gani vya kuzingatia anapotafuta developer?? Vipi kuhusu kuibiwa wazo lako??
Msaa wenu please