"Katibu Wa CCM; kanukuliwa akisema, Tusiwavumioie Wanaotaka muungano uvunjike;
Mimi kama mwanachi na mdau wa muungano nashauri; Ni vyema serikali ingeonesha faida za muungano kwa wananchi ili...
Wakuu, hivi karibuni nimekuwa najikuta nasikiliza radio ya E - FM hasa kwa kuwasikiliza wachekeshaji Mkude, Bwakila na mjomba wake.
Nimejikuta nasikiliza hata kipindi chao cha magazeti asubuhi...
Tulipokea tahadhari kutoka idara inayohusika na utabiri wa hali ya hewa, ikitutahadharisha juu ya uwezekano wa tufani na hata mafuriko katika mikoa ya kusini.
Mpaka muda huu bado hayajatokea...
Taarifa za hivi karibuni zilitolewa na TCRA kuwa kila Mwananchi aliye na simu aisajile simu/zake kwa kutumia vidole na sharti awe na kitambulisho cha Taifa kilichotolewa na NIDA. kwa siku za...
Wanannchi waliokuwa wamejisitiri kwenye uwanja wa ndege wa Mtwara toka asubuhi wamerejea nyumbani kutafuta chakula.wanadai toka alifajiri hadi jioni awajala chochote
....chanzo BBC.
Huyu dada namuona sana kwenye mitamdao ya kijamii hasa tweeter akijinasibu kuwa mtetezi wa haki za binadam na uhuru wa vyombo cha habari.
Yupo karibu sana na mwenzie Fatuma Karume.
Mwenye CV na...
Tunashuhudia Dr.Tulia akiwa katika msafara wa rais huko mbeya.Jee yupo huko kama mbunge au nani?Jee shughuli za bunge sii muhimu kuliko kuambatana katika ziara na rais?Jee tunaposema mhimili wa...
Salaam! Uzi huu Kama hautakuhusu tafadhali usichangie.
Leo tujadili kuhusu fundisho la Lana ya ukoo. Fundisho hili lina nguvu Sana na linaaminiwa na baadhi ya watu wa makanisa ya kipentekoste...
Napenda tu kuwapa taarifa kuwa Boma langu ambalo nililitangaza hapa mwezi wa 4 kwa kuwaomba Ushuri juu ya kuiza kwani Nimeliuza Boma langu na kwa 8.7M na Pesa niliyoiza nimeamua kufanyia Biashara...
HAPPY BIRTHDAY KAMARADE YERICKO JOHANNES NYERERE.
Na. Christopher Cyrilo
Siku moja, wakuu wa mashirika ya intelijensia wa CIA ya Marekani, MSS ya China na KGB ya Urusi walikutana kujadili mambo...
PUBLIC NOTICE FOR INTENDED ORGANIZATION RESTRUCTURING: Due to changing economic, social and technological environment Mwananchi Communications has been forced to revisit its business Operating...
Na IBRAHIM YASSIN-MBEYA
MAHAKAMA ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya imemhukumu kutumikia kifungo cha miaka mitano jela Jordan Mgena (30), mkazi wa Kahama mkoani Shinyanga kwa kosa la kuiba mtoto wa...
Wakuu kwema?
Wakuu nimekuja kwenu kwani kupitia jukwaa hili hakuna kinachoshindikana,kiufupi mm ni kijana wa kiume 25 niliye tiari kuanza ujasiriamali kupitia biashara.
Kwa wakazi na wenyeji wa...
Mara nyingi nimeona operesheni nyingi zinapotangazwa huanzia huko. Hata kabla elimu haijasambaa vyema kwa walengwa, harakaharaka inaanzia huko. Mifano ipo ya kutosha. Mfano hili la ukatazaji nguo...
Inaendelea ilipoishia jana,,,,
Jinsi gani nilipata maambukizi ya VVU.......
Baada ya kuhukumiwa kufungwa Jela manamo tar 19 mwezi wa kwanza kwa kosa la kubambikiziwa kuwa nimemmbaka dada wa Kazi...
As salaam.
Ndugu zangu watanzania Jana nimejikuta nawakumbuka sana kwa utu na wema wenu haswa kwa wale baba au mama wenye nyumba zao mjini tunazopanga sisi ambao tunaanzaga maisha na kutengana na...
Habari za wakati huuwana jukwaa!
Leo nmebahatika kuiona televishen ya taifa Zanzibar (ZBC) ndani ya king'amuzi cha DStv chanel 291.
Nadhani ni hatua nzuri kwa kua itaongeza wigo wa habari...
Wakuu kwema!!
Ni wazi kua wengi wa tulio hitimu chuo kikuu kuanzia 2015 hadi 2018 tuna fanya kazi ambazo hatukuzisomea Mimi naziita "makazi magumu".
Binafsi nimehitimu julai 2018 (BAED) sasa...
Heri ya pasaka wana jf natumai kila mmoja wenu anaendelea vizuri.
Leo napenda kushirikiana nanyi neno hili
Waswahili husema usichezee kazi chezea mshahara, hii ikiwa na maana kuwa chochote...