Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,674
- 1,685
Wakuu, hivi karibuni nimekuwa najikuta nasikiliza radio ya E - FM hasa kwa kuwasikiliza wachekeshaji Mkude, Bwakila na mjomba wake.
Nimejikuta nasikiliza hata kipindi chao cha magazeti asubuhi.
Kinachonishangaza ni huyu mtangazaji Maulidi Kitenge eti akiwa nje ya nchi anatujuza kilichomo kwenye magazeti na kwa mbwembwe nchi alipo kisha watangazaji waliopo Dar huendelea na kutujuza kilichomo kwenye magazeti hayo hayo.
Sent using Jamii Forums mobile app