Kama ningekuwa Nchimbi ningejiuzulu kwa kuitwa Yuda

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,396
Reaction score
38,165
Makamu wa Rais akijiuzulu tutapata fursa ya kurudia uchaguzi mkuu, na hapo ndo tutawabana tufanye free and fair election, na hapo ndo tutamuondosha huyo anayemtetea

Mzee wangu Nchimbi huna hasira?

Rais wa nchi amesafiri hatujui mmeagana vip maana hatujakuona airport ukimsindikiza,

Makamu wa Rais ni cheo kikubwa,
Makamu wa Rais sio mteule, yupo pale Kwa kuchaguliwa

Haiwezekani mbunge kidagaa amuite kiongozi wa juu kitaifa Yuda

Anamwita Yuda kuwa amesaliti nini?
Nani? Amesaliti Kwa nani?
Huyo mbunge Uyuda wa Makamu wa Rais ameujuaje?

Mbunge kutoka Zanzibar anamdhihaki makamu wa Rais kutoka Tanganyika kuwa anaenda kanisani ( udini). Sasa kama Mkristo ataendaje kufanya ibada muskitini anakotaka aende?

Nchimbi tafakari Kwa kina utoe maamzi

Pia soma Mbunge Simai: Serikalini kuna Yuda, huko nyuma amewahi kutajwa ni mzigo, amewaumiza watu wengi
 
Hahaha uwezo wa kujiuzulu Hana

Ndio akome nayeye sianahusika kuwakandamiza watanzania maovu yanayo fanywa Toka upande wao hayaoni kwanini asichukue hatua

Wote ni wale wale tu acha limfike jambo
 
Kwa nchii hii, anaweza kuji uzuru na bado uchaguzi usifanyike akateuliwa mtu kushika wadhifa huo, na bado watu wasifanye chochote.

Nchi ina wenyewee hii, na wenyewe wapo, ila sio sisi.
"Through every night, there's a brighter day after that" - 2Pac Shakur

Usikate tamaa, dunia inazunguka kwa kasi sana. Time will tell.
 
Makamu wa Rais akijiuzulu tutapata fursa ya kurudia uchaguzi mkuu, na hapo ndo tutawabana tufanye free and fair election, na hapo ndo tutamuondosha huyo anayemtetea

Mzee wangu Nchimbi huna hasira?

Rais wa nchi amesafiri hatujui mmeagana vip maana hatujakuona airport ukimsindikiza,

Makamu wa Rais ni cheo kikubwa,
Makamu wa Rais sio mteule, yupo pale Kwa kuchaguliwa

Haiwezekani mbunge kidagaa amuite kiongozi wa juu kitaifa Yuda

Anamwita Yuda kuwa amesaliti nini?
Nani? Amesaliti Kwa nani?
Huyo mbunge Uyuda wa Makamu wa Rais ameujuaje?

Mbunge kutoka Zanzibar anamdhihaki makamu wa Rais kutoka Tanganyika kuwa anaenda kanisani ( udini). Sasa kama Mkristo ataendaje kufanya ibada muskitini anakotaka aende?

Nchimbi tafakari Kwa kina utoe maamzi
nonsense,

mbona wew unaitwa nyumbu, lofa mfuata mkumbo na bado umeng'ang'ana na kushupaza shingo tu kwenye mambo nonsense?

si ungejiuzulu na uache unyumbu na ufuata mkumbo?🐒
 
Makamu wa Rais akijiuzulu tutapata fursa ya kurudia uchaguzi mkuu, na hapo ndo tutawabana tufanye free and fair election, na hapo ndo tutamuondosha huyo anayemtetea

Mzee wangu Nchimbi huna hasira?

Rais wa nchi amesafiri hatujui mmeagana vip maana hatujakuona airport ukimsindikiza,

Makamu wa Rais ni cheo kikubwa,
Makamu wa Rais sio mteule, yupo pale Kwa kuchaguliwa

Haiwezekani mbunge kidagaa amuite kiongozi wa juu kitaifa Yuda

Anamwita Yuda kuwa amesaliti nini?
Nani? Amesaliti Kwa nani?
Huyo mbunge Uyuda wa Makamu wa Rais ameujuaje?

Mbunge kutoka Zanzibar anamdhihaki makamu wa Rais kutoka Tanganyika kuwa anaenda kanisani ( udini). Sasa kama Mkristo ataendaje kufanya ibada muskitini anakotaka aende?

Nchimbi tafakari Kwa kina utoe maamzi
Kwani we umejuaje kuwa huyo mbunge alivyosema yuda,ana maana ya imma?
 
Back
Top Bottom