feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 8,963
- 18,535
Wakuu habari ya wakati huu.
Awali ya yote naomba moderator msiunganishe huu uzi na nyuzi zingine huu unajitegemea.
Ukisoma kitabu cha biblia ambacho ni kitabu takatifu kwa waumini wa dini ya kikristo ipo stori inayozungumzia namna utawala wa mfalme nimrodi baada ya kufanya dhambi nyingi mwishowe wakata kujengea mnala ambao utawapeleka mbinguni wakampige Mungu. Lakini kwa ukuu wa Mungu akafanya lugha gonga dhahiri shahiri ili lengo lisifanikiwe hapo ndipo lugha za mataifa zikazaliwa ,watu wakatengana kutokana na lugha zao na kazi ile ikafia pale.
Hiki ndo kile kile kinachotokea pale bungeni baada ya madhambi mengi ya wabunge hawa wasiochaguliwa na wananchi sasa M/Mungu mtukufu ameleta lugha gongana na ameamua kumtumia Huyu mbunge kuvuruga bunge hili lisilo la wananchi na kwa mara ya kwanza Mbunge ameongea jambo lakini hakuna aliyepiga makofi.
Ukiangalia vizuri maneno ya msemaji na confidence yake walayi anaongea unaona kabisa jambo hili alipewa script kwanza alikua hajiamini anatetemeka(tone yake) lakini M/Mungu mtukufu jambo zuri zaidi alimfanya mtu huyu aongee bila kumficha huyo mtu aliyemuita Yuda.
Soma pia: Mbunge Simai: Serikalini kuna Yuda, huko nyuma amewahi kutajwa ni mzigo, amewaumiza watu wengi
Hii ni nukuu ya meneno yake “Rais Samia anaongoza Nchi kwa upendo lakini ndani ya Serikali kuna (YUDA) huyu Yuda anazunguka makanisani kutafuta huruma ya wananchi, anatuaminisha kwamba Rais Magufuli alimpenda sana, kama Magufuli alimpenda kwa nini alimtupa huko Nje, Sisi tunajua watu waliopendwa na Magufuli” - SIMAI SAID, Mbunge Kupitia Baraza la Wakalishi ZANZIBAR.
Binafsi huu nauona kama ushindi kwa watu hawa kuanza kugombana hasa viongozi wa kubwa zaidi ,huu ni sehemu ya ushindi mdogo kuelekea mafanikio.
Nawasilisha