habari wana jf naomba kufaham sheria za tra meneja wa tra anayo haki ya kuamua kesi ya muuzaji bidhaa na mnunuzi wa bidhaa?
kuna mfanyabiashara mwenzangu juzi alikuja mteja dukani kwake...
AUNT YANGU NI muislam watoto wake wote wamesomaa shule za kikatoriki alisema mimi nachotaka ni kuwatengezea misingi katika maisha yao sio kuwafanya wajue dini kuliko elimu.. mpaka sasa navyoongea...
NCHI ZA AFRIKA ZILIZOMO KWENYE MTAZAMO WANGU NI AMBAZO HAZINA WAARABU(SUB SAHARAN)
Nimefanya utafiti kwa kipindi sasa na nikagundua watanzania ni nchi ya tatu kwa wananchi wake kuwa wajanja...
Mzuqa!
Leo matokeo ya green card yameeanza kutoka. Ila sasa hivi siyo kama miaka ya nyuma unapata kwa njia ya Posta.
Hiki ni kisa cha kweli Nilisimuliwa kipindi flani miaka ya nyuma.
Kuna...
ENZI ZA UTOTO TULIAMINI KWAMBA...
Kwa Wahenga tu si Kwa KIzazi cha Video Game
1. Ukiweka SINDANO kwenye RELI (aidha ya kirungu au ya kushonea) Basi TRENI ikipita itapinduka...
2. Ukila TUNDA...
Wakuu habarii zenu!??
#watafuna kondoo mpoo
Forex scammer na mwandishi mashuhuri wa kitabu cha cashflow quadrat mr jabulan Ngcob pamoja na mkewe wamehukumiwa na mahakama ya johanesburg kwenda...
Serikali iangalie kinachoendelea katika ubalozi wa Italia hapa Dar kwa vile ubalozi umeweka vigezo vya kupatiwa visa, jambo la kushangaza ni kwamba hata ukitimiza hayo masharti waliyoweka bado...
Japo Comment ya kwanza ya utani lakini inastajabisha then ukipima na kipindi chenyewe hiki..!!
Alafu sijamuona pale sebureni..! Kwani walikuwa na tatizo?
Tumeshuhudia leo RC dsm akisema bila woga kuwa alipewa sh 147m na marehemu Mengi eti akalipe deni,Jee sheria zetu za rushwa zinaruhusu mtu mwenye mamlaka fulani kupokea pesa bila utaratibu wowote...
Habarini za muda huu ndugu zangu wana jamiiforum
Ninafungua uzi kila mara la kuhitaji msaada wa namna hii
Naomba kama unafanya kazi vodacom au una mtu anafanya kazi hapo naomba mnisaidie nione...
#BringbackMdude
Huu ukimya wa vyama vya upinzani na kuleta hoja soft bila kuchukua hatua ni kuwa bado Kuna ombwe kubwa la nia yenu ya kutaka kuikomboa nchi.
Moja. Ilitakiwa kwenda kukusanya nguvu...
Wana Nzengo, Kamwene?
Leo nawaambia, mkubali ama mkatae maisha ya haya ya duniani ni makumi 7 tu, kama ukizidi miaka 70 basi ni hiyo ni Bonus na wewe ni kidume.
Lakini hata huo muda wa bonus...
"Katika kutekeleza agizo la Rais Magufuli,wale waliojihusisha na Kangomba kwenye #Korosho, Nachingwea,wawasilishe barua zao za kukiri kosa na kuahidi kutorudia ili tufanye malipo yao..Mwisho wa...
Nikupe pole mwanajf mwenzetu Pascal Mayalla kwa msiba wa mwajiri wako wa zamani mzee Mengi wa IPP.
Najua Pascal Mayalla ulianzia RTD lakini ulifahamika na kuwa maarufu ulipohamia ITV na kuendesha...
Huku ninakoishi nashangazwa kama sio kukerwa na katabia ka ajabu sana!
Wadada wengi wa huku kila
unayejaribu kuzungumza nae,
Ukimuuliza anaishi wapi atakwambia anaishi SAKINA!
Hakuna Mdada...
Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu...
Wadau wa JF Haya hapa ni mambo saba ambayo marehemu alipitia na kuyafanya katika maisha yake.
1. Alilala sakafuni
Safari ya maisha ya Bw. Mengi ilianzia eneo la Machame huko Kilimanjaro katika...
Kuweka hashtag kama #BringbackMdudeAlive kisha baada ya hapo unavuta shuka unalala haitosaidia chochote hawa jamaa kama wamefumba macho vile wala hawaoni.
Hata kusaini petition mitandaoni nayo...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ameandika katika akaunti yake ya Instagram, kumtaka Amber Ruty afike kituo cha polisi.
Nanukuu,
Wakati TCRA wakijipanga kuchukua hatua, mimi namtaka mwenye picha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.