Hii Tweet ya Mo Dewji mbona inanipa mashaka makubwa!

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
7,220
12,937
1090694

Japo Comment ya kwanza ya utani lakini inastajabisha then ukipima na kipindi chenyewe hiki..!!
Alafu sijamuona pale sebureni..! Kwani walikuwa na tatizo?
 
Mo ana wenge baada ya kuona msiba wa Mengi umefunika bila promotion, ukilinganisha na ule msiba wa Bukoba ambao ulijaa sifa za uwongo.
Mwingine anamsifia marehemu kuwa alimfundisha kutembea mitaani peku ili afahamike
Hahaha Mkuu mi mwenyewe Nshomile lakini ule msiba ulijaa promo zaidi cos vituo vyake ni vya promo lakini huu haukuwa na promo japo sikatai utajiri wa Mzee ndo umempa umaarufu kias hichi but yote kwa yote Namuheshimu Mzee Mengi kilichojitokeza njiani mpaka leo siku anaagwa alistahili kukipata. #RIP Mzee Mengi
 
Nilimuona lofa mno yule jamaa mpaka leo mwingine alienichekesha ni barnaba msiba ulijaa maigizo sana kama life style yake marehemu......

Back
Top Bottom