Haki waislam tuna hasara tena hasara kubwa mnoo mnakumbuka bakwata toka imeanzishwa katika misingi isiyoeleweka?
Bakwata jana mwezi umeandama nchi mbalimbali mpaka kenya cha kushangaza wamesema...
Kadhi Mkuu wa Tanzania, Abdallah Mnyasi amesema mfungo mtukufu wa ramadhani utaanza keshokutwa Jumanne ya Mei 7, 2019.
Akizungumza leo Jumapili Mei 5,2019 kupitia televisheni ya Shirika la...
Jumapili ya tarehe 5/5/19, padre mmoja ambaye ni mjumbe wa kitengo cha uchungaji ndani ya baraza la maaskofu katoliki Tanzania alikika akisema kuwa waamini wengine wanamatatizo ambayo hayahusiani...
Imekua kama kansa sasa Rais Magufuli kuingilia taratibu za kawaida za ibada .
Anachofanya wakati wote ni unajisi tuu na hakina tafsiri yoyote. Mengine ni kampeni za kijinga aonekane si mdhambi...
Nashindwa kuelewa kwa nini misiba "ya kitaifa" kama huu wa Mzee Mengi na ule wa Ndugu Ruge unapelekwa kwenye ukumbi mdogo kwama ule! Ni kweli una hadhi na heshima nchini lakini kwa upande wa...
Salamu kwa wanajukwaa wote.
Kuna mambo yananitatiza kuhusiana na sakata la CAG vs Bunge,na hapa jukwaani naamini jibu linaweza patikana kama halitapatikana basi,tutalisogelea.
Kwanza napenda...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imesema hakuna mtu atakayefungiwa biashara yake kwa sababu ya kuchelewa kulipa kodi au malimbikizo ya kodi, na endapo itaonekana kuna ulazima wa kufanya hivyo...
Chadema nao wamejiunga na watesi wao wanaotuma gangsters kuwateka na kuwaua, nao eti wanawaita "watu wasiojulikana"!
Cha kushangaxa, Mdude katekwa mchana kweupe na wamewaona watu waliomteka...
Mnachofanya ttcl hakina jina lingine zaidi ya kutapeli wateja wenu, tena mnatapeli bila aibu,sijui kama mh MBARAWA unalijua hili,kwenye menu ya TTCL kuna sehemu ya kutuma pesa kwenda benki, na...
Tanzania ni nchi ya amani lkn pia ni nchi ambayo hivi karibuni imekumbwa sana na baadhi ya raia wake kupotea(kutekwa) na watu wasio julikana. Leo nikiwa na majonzi mazito napenda kuuliza "wako...
Kwa moyo wangu wote ,nakuomba hebu jipime kama hiyo nafasi inakutosha.unakiangamiza chama shimoni.mbowe hawezi kukuambia haya kwa kuwa wewe ni chaguo lake.
Wala siyo vibaya ukijiuzuru kwa maslahi...
*******UKIANGALIA HII RAMANI UNAONA KWAMBA BNA SISI TUPO KWENYE PLAN,MIKOA YA KANDA YA ZIWA NA KIGOMA.....kuna document anayo member moja aitwaye LUGWA inaonyesha kikao kilichofanyika kati ya...
Kweli zamani ilikuwa raha sana hasa kwenye ushabiki wa mpira.Manake ilikuwa lazima kuingia uwanjani (uwanja wa bibi) kila mechi muhimu kwa namna yeyote!!!!tatizo kipindi hicho ufukara ulikuwa...
Mwaka jana kunataarifa zilisambaa kua kuna walimu wa kiswahili wamepangwa kufundisha MATHEMATICS,vivyo hivyo hata mwaka huu tumeona kunabaazi ya majina yamejiludia mala mbili kwa kupangwa masomo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.