Rafiki alivyoficha maksud Green DV Green card results ya housemate wake

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,191
13,616
Mzuqa!

Leo matokeo ya green card yameeanza kutoka. Ila sasa hivi siyo kama miaka ya nyuma unapata kwa njia ya Posta.

Hiki ni kisa cha kweli Nilisimuliwa kipindi flani miaka ya nyuma.

Kuna wasichana wawili wa Kenya walikuwa wanashare apartment Norway. Walikuwa marafki sana.
Mmoja wao alicheza greencard lottery.

Matokeo yalipotoka alisubiri sana kujua kama ameshinda. Miezi sita iliyopita akapotezea.

Sasa alitaka kuhama kwenye apartment yake mwenyewe. Alipokuwa anakusanya vitu vyake akakutana na bahasha imefunguliwa. Akaamua kuisoma na kupata mshtuko ni barua ya DV lottery iliyoonesha amekuwa selected. Hakuamini roommate wake alijua alipopata iyo barua mlangoni na kuamua kuficha barua maksud.

Victoire
 
Naomba kuuliza, hivi ukifankiwa kupata hiyo green card. Unatakiwa kuishi Marekani kwa muda gani? Au ukiingia ni mpaka uchoke mwenyewe? Na ukiingia na kutoka unaruhusiwa kuingia tena kwa mara ya pili?
 
Naomba kuuliza, hivi ukifankiwa kupata hiyo green card. Unatakiwa kuishi Marekani kwa muda gani? Au ukiingia ni mpaka uchoke mwenyewe? Na ukiingia na kutoka unaruhusiwa kuingia tena kwa mara ya pili?
Ukiwa nayo, kuingia na kutoka Marekani ni kama Tz tunavyokwenda mkoa mmoja hadi mwingine, pesa yako tu. Ukomo wake ni ukiamua kuchukua uraia wa Marekani, au ukikaa nje ya Marekani zaidi ya mwaka (mfululizo) na bila kutoa taarifa ubalozini au uhamiaji, unapofanya kosa, mfano kuua/ madawa n.k utafungwa, baada ya kifungo wanakurudisha kwenu.
 
Back
Top Bottom