Finally: Mdude Chadema[Last Minute]

Finally: Mdude Chadema[Last Minute]

guzman_

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2016
Posts
1,277
Reaction score
2,463
#BringbackMdude
Huu ukimya wa vyama vya upinzani na kuleta hoja soft bila kuchukua hatua ni kuwa bado Kuna ombwe kubwa la nia yenu ya kutaka kuikomboa nchi.
Moja. Ilitakiwa kwenda kukusanya nguvu Mbozi nzima watu wamdai raia mwenzao. You guys you must lead for Good or bad. Nyie kuwaogopa polisi ni udhaifu mkubwa sana.
Mbili. Nadhani mnahitaji kuwekeza kwenye intelligensia zaidi.
Muda waja hamna atakayesema Mdude ila wataendelea kunywa supu ya kongoro.
%Sisi ni nchi ya hovyo Namba 1 Dunia nzima. Leo tunadhubutu kuweka siasa mbele kuliko utu.
 
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji25][emoji25][emoji25][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
 
Mi huwa najisemeaga humu'watanzania hatuna cha kufanya kila mtu anahofia uhai wake'

Kwa watanZania tulivyo si vizur kabisa kuropokaropoka mambo

watanZania wengi hawajui kuwa hii nchi ni yetu wote,hudhan ni ya viongoz pekee!!
 
#BringbackMdude
Huu ukimya wa vyama vya upinzani na kuleta hoja soft bila kuchukua hatua ni kuwa bado Kuna ombwe kubwa la nia yenu ya kutaka kuikomboa nchi.
Moja. Ilitakiwa kwenda kukusanya nguvu Mbozi nzima watu wamdai raia mwenzao. You guys you must lead for Good or bad. Nyie kuwaogopa polisi ni udhaifu mkubwa sana.
Mbili. Nadhani mnahitaji kuwekeza kwenye intelligensia zaidi.
Muda waja hamna atakayesema Mdude ila wataendelea kunywa supu ya kongoro.
%Sisi ni nchi ya hovyo Namba 1 Dunia nzima. Leo tunadhubutu kuweka siasa mbele kuliko utu.
Mbwa koko wa kiaina hili la upinzani au la wananchi wote kwa nini wewe usianze kufanya hivyo
 
UPINZANI???? we jamaa akili yako imeganda? kwamba hapo upinzani unataka wapinge nini sasa?
 
Kila mtu anaogopa 'kuchakazwa' na ndiyo maana wanawahi kutoa kauli tata wakijua baada ya fears statement hakuna 'mbwa koko' atakayejitojeza kudai (hitaji lake) kwa mujibu aliopewa na katiba.
 
Naibu waziri kashasema mdude hajatekwa
 
Back
Top Bottom