rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,419
Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh Makonda na wengine ni wanakijiji.
Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni mtu mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo la kumsamehe adui yako?
Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.