Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo kilichopewa jukumu la kuhakikisha kuwa Utumishi wa Umma unakuwa na watumishi wenye weledi wa hali ya juu kupitia mchakato wa ajira. Lengo la...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo nimepigwa faini ya uonevu kabisa sh 61,800 ,kisa nimegesha Gari pembeni kabisa ya barabara ilinpokee mzigo alie niletea nikafungua mlango Na kushuka kumpokea ile napanda kwenye Gari nakutana...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Idadi ya watu walioripotiwa kujiua inashtua, inawezekana matukio haya yametokea kwa bahati mbaya au ni ushirikina, bado limebaki kuwa jambo linaloshangaza. Kwa Kenya simulizi za namna hii, ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jack +machache dada ake jack +pride tanzania pride tz +pesa uchaguzi 2015 baba +party miaka ileeee... mza rug'e +clouds =sahara media +ipp (media) nani anawajua braza zake han'stone sura zao? OK...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Angalia vizuri hii picha! Hapa ndipo atakapozikwa aliyekuwa Bilionea na Kipenzi cha Watanzania Dr Reginald Mengi. Shughuli ya Uchimbaji Kaburi inaendelea,Kati ya hao Vijana unaowaona kuna...
1 Reactions
2 Replies
853 Views
Leo tarehe 18 april 2017 ilikuwa hukumu ya kesi yangu ya uchochezi mimi na wenzangu wawili. Kesi hiyo ambayo ni CRIMINAL CASE NO.128 OF 2016 imetolewa hukumu leo tarehe 18 april 2017 katika...
8 Reactions
58 Replies
11K Views
Mvua zinazoendelea kunyesha jijini zimesababisha adha ya usafiri eneo la kutoka Mbweni kwenda Kiembeni Mapinga wakazi wa eneo la Kiembeni ambao wamekua wakipata huduma za Afya katika Hospital ya...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Muugwana BLOG naipenda sana Blog yenu maana ina vichwa vya habari na unasoma habari fupi fupi unajua mambo mengi kwa mara moja.Ila mna tatizo moja tu.Mnakoseaga sana kuandika misamiati au spelling...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
1. Kuzifahamu na kuzitumua fursa ambazo wengine hawakuzifahamu. Dk Mengi alianza ujasiriamali katika miaka ya 1980, hapo tayari alishaziona fursa, huku wengine wakiwa wamelala na ujamaa wao...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
NI MCHUNGAJI MWENYEWE AU [emoji144][emoji144]
0 Reactions
0 Replies
415 Views
Picha sharti iseme maneno mengi. Hongera alieinasa.
14 Reactions
37 Replies
5K Views
Salaam wakuu, Niko kwenye gari naelekea kazini, ile napanda gari Mbezi mwisho kwa Yusufu saa 11:40 imenyesha mvua balaa, na hii Barbara haina sehem ya kujinga kwa abiria wanaosubili daladala, ni...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Akiwa Karimjee ktk shughuli za kumuaga aliyekuwa mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya IPP. Makonda amedai hajawahi kuona mchqgga anaesaidia walemavu na kusema Mengi alikuwa wa kipekee Katika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wapendwa Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu Mkuu aliyeumba Mbingu na Nchi. Nafurahi kuwajulisha kuwa Hali ya Hewa ya Arusha sasa imerejea katika Ubora wake wa Asili. Ubaridi ulee Tunaoupenda na...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
0692208323: GRR GRR GRR G.: HELLO 0692208323: Habari, Unaongea na mhudumu kutoka Vodacom, naongea na nani tafadhali G.: Kama uko Vodacom ina maana huwezi kuona namba yangu na kujua mimi ni nani...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Hatua hii imechukuliwa kufuatia maji kujaa Mto Msimbazi hivyo kuhatarisha watumiaji wa vyombo vya usafiri na waenda kwa miguu Huduma za mabasi ya BRT 'Mwendokasi' zimesitishwa kufuatia hali hiyo...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
"SMS Kutoka 0789 18 97 51 Habari? mimi mwenye nyumba wako nitumie hela yangu ya kodi kwenye no hii ya Tigo 0713 33 59 75 na umekuwa kimya pasipo taarifa".
2 Reactions
2 Replies
958 Views
Leo ni swali tu kwa hawa ndugu zangu wastaafu/Walioacha kazi hivi mnaishi vipi huko mtaani baada ya kile kiinua mgongo kuisha? Maana uwenda ulishazoea kila mwisho wa mwezi kwenda kudroo bank...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Sio Jambo la kawaida kabisa kwa huyu mzee kukosa kwenye Msiba tena mkubwa kama huu wa Mheshimiwa Reginald Mengi. Huu ukimya wake pia hapana.
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau, Hatukatai watu uwezo wanazidiana lakini si kwa unafiki huu; 1. Mtu anachangia mia mbili au mia tano kweli? Halafu unaandika na jina kweli? Hivi kweli kama lengo ni kukusanya hela ya...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Back
Top Bottom