Wapendwa Wadau!

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Huku ninakoishi nashangazwa kama sio kukerwa na katabia ka ajabu sana!
Wadada wengi wa huku kila
unayejaribu kuzungumza nae,

Ukimuuliza anaishi wapi atakwambia anaishi SAKINA!
Hakuna Mdada anayedai anaishi sehemu nyingine zaidi ya SAKINA!
Sijui ni kwa nini hebu Wadau tusaidiane majibu!
NB: SAKINA YA ARUSHA WADAU
 
Hata hapa mpitimbi kuna mtaa unaitawa sakina sasa sakina ya wap unazungumzuia au r chuga mkuu?
 
Unataka akwambie anaisha Unga limited au Matejoo?
Hadhi ya mtu inapanda kulingana na sehemu anakoishi so wadada wameusoma upepo.
Karibu Chugastan.
 
Back
Top Bottom