leipzig
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 2,766
- 1,716
Serikali iangalie kinachoendelea katika ubalozi wa Italia hapa Dar kwa vile ubalozi umeweka vigezo vya kupatiwa visa, jambo la kushangaza ni kwamba hata ukitimiza hayo masharti waliyoweka bado hawatoi visa tena bila maelezo na hela inakuwa imeenda.
Ni kawaida kukuta watu wanalipia maombi zaidi ya mara moja lakini hawapatiwi visa zao kiasi kwamba tunaanza kupata hisia pengine ubalozi umeamua kufanya biashara.
Imefikia hatua unaagizwa nyaraka ambazo hazikuainishwa katika masharti yao.