Hashtag na petitions ni kelele za mitandaoni hazina msaada wowote

gstar

JF-Expert Member
Jun 19, 2011
759
1,245
Kuweka hashtag kama #BringbackMdudeAlive kisha baada ya hapo unavuta shuka unalala haitosaidia chochote hawa jamaa kama wamefumba macho vile wala hawaoni.
Hata kusaini petition mitandaoni nayo nionavyo mimi ni kama kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji.
Sijui tutumie njia gani...
 
huwa nawaza hivi Tanzania kuna petition yoyote iliyowahi kuleta impact na kufanyiwa kazi? kama ndiyo basi zinasaidia
 
Back
Top Bottom