nawaomba wahusika hasa mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa hawa wenye vibanda vya kuonyesha mipira mitaani majirani wanashindwa kulala hata watoto hawalali mapema kwa kelele za washangiliaji. naomba...
Wakuu naomba kuuliza. Takribani wiki moja sasa nchi ya Tanzania imekumbwa na msiba wa bilionea maarufu Dr. RA Mengi lakini katika hali isiyo ya kawaida sijaona bwana nywele nyeupe. Huyu ndugu kwa...
WANAUME WA DAR MNAKWAMA WAPI??
KWENYE KALE KACLIP KA MCHUNGA KONDOO WA DAR AKICHINJA KONDOO WAKE SISI WANAUME WA MIKOANI TUNAJIULIZA MASWALI HAYA
1. Mwanaume kamili unatumiaje dakika 1 na...
Habari za jioni wana jf na wapenzi jf
Niende kwenye mada mazima ili nielimishwe ni kigezo gani viongozi wetu wa dini wanakusudia kutumia kushiriki ibada ya mazishi ya mengi kikiristo
Nijuavyo mimi...
Nimenunua bidhaa kupitia KIKUU biashara ya mitandao mwaka pili sasa ila wameanza ufigisufigisu sasa.Bidhaa inaonyesha imeshafika Dar es Salaam Ofisini kwao wiki na nusu lakini hawanipi taarifa...
Nimekua nasoma gazeti la Thisday mara kwa mara na haipiti siku mbili bila kuona habari za Manji na mara nyingi ni za kumkandamiza.Mi binafsi simpendi Manji lakini naona hii ni zaidi ya...
Hapa namaanisha wale wanaoswali swala5 ,wale wacha Mungu jpili hawakosi.
Wamejiweka mbali na ulozi,pombe,uzinzi na kila aina ya starehe.
Unakuta jitu lilevi,lizinzi,muuaji alafu hakuna...
Ndugu wana Jf sote tunakumbuka MO alipotekwa na watu WASIOJULIKANA taifa lilivyopaza sauti , je haoni ama hasomi vyombo vya habari kujua kuna mtu katekwa kama yeye ??
Japo kutoa ni moyo sio...
Heshima kwenu wana JF. pia poleni kwa kuomboleza.
Nawaomba viongozi wa JF ikiwa mnamtambua verify Id za watu waliofariki mf: Dr. Mengi, Kibonde nk: mzitambulishe tuweze Kujua background...
Inasambaa video inayodhaniwa ni ya Gwajima akingonoka na binti/mwanamke.,Mwanamke anayeonekana kwa mwonekano wa kawaida ni smart na kwa asilia flani ni maarufu kwa kiasi chake je?
1. Mpaka sasa...
binafsi sifurahishwi na hizi harakati za kiboya za kuteka teka watu. Kama sisi ni democratic state hizi habari za kuteka watu zinakujaje?? Kama mtu amekosa kuna vyombo vya dola,msitutishe mtateka...
Katika kuuga mwili wa mpendwa wetu na mwenyekiti wa makampuni ya I.P.P Dr .R.mengi pale ukumbi wa karimjee hall kulikuwepo na nafasi za vingozi mbalimbali kuzungumza katika nafasi zao kutoa...
Imeandikwa tangu enzi na enzi kwamba Shetani hana rafiki , leo usemi huu umedhihirika , Dr Gwajima aliyekuwa upande wa wananchi akashiriki kampeni ya Mungu ya kung'oa ccm madarakani 2015 ...
I pray that we all have a very blessed and fruitful Ramadan.
Please Remember Everyone of Us, Our Parents who Passed Away recently and long years ago Friends, Sick people and their families in...
Pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki kufuatia msiba wa mzee wetu. Mungu aendelee kumpumzisha kwa amani Dkt. Reginald Mengi. Amen!
Tangu zitangazwe taarifa za ghafla za kifo chake, kumetokea...
Nimeshangaa ITV Na East Africa TV kuendelea Na vipindi vya kawaida mpaka kuonyesha na Isidingo Na Nirvana jioni hii 07/05/2019 siku ambayo mwili wa mwenyekiti uko nyumbani kwake Kinondoni Na...
Ninaomba nieleweke kuwa watumishi wa umma na wa taasisi binafsi tumeminywa kwa miaka 4 mfululizo. Sidhani kama kuna nchi duniani ukiondoa Tanzania imewahi kuwanyima nyongeza ya mishahara watumishi...
KIwanda kinapatikana katika bonde LA MTO msimbazi huku sukita,imekuwa ni kero has a kwasisi wakazi wa upande huu wa Kigogo ukiwa maeneo haya harufu ya kama MTU anakaanga korosho tena ikiwa kama...
Hivi vitambulisho sasa imekuwa kodi ya kichwa rasmi.kuna mahala nipo ndugu zangu inatisha.watu wanapelekwa puta kama wakimbizi katika nchi yao.
Ulinzi uliopo picha haiwezekaniki labda kama nataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.