MKANGANYIKO HUU AJUAYE ANIWEKE SAWA

amigod

JF-Expert Member
Mar 10, 2018
345
264
Habari za jioni wana jf na wapenzi jf
Niende kwenye mada mazima ili nielimishwe ni kigezo gani viongozi wetu wa dini wanakusudia kutumia kushiriki ibada ya mazishi ya mengi kikiristo
Nijuavyo mimi dini yetu ina utaratibu wake ukiwa nje ya utaratibu maana yake umepoteza sifa ya kuwa mkristo
Mengi alitengana na mke wake wa ndoa ya kikiristo akawa na mke mdogo kwa taratibu za kikiristo hawaruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja wanakutenga au kuishi na mke bila ndoa harali wanakutenga maana yake wewe si mkristo tena swali ni sahihi kufanya ibada ya mazishi ya mengi kikiristo? Ilihali alikuwa amejitenga kwa kumiliki wake wawili pia kuishi na mke bila ndoa ya kikristo
Naomba kuelimishwa hasa wachungaji na wainjilisti wa kkkt waliomo humu
 
Palipo na ela ni hatari sana, ata angetaka ahifadhiwe kanisan ad mazishi isinge shindikana kitu japo kua alikua na hawara
 
Pesa ni tamu sana bro, pesa kumbuka ilimuua hadi Yesu.hahahaha
 
Ndoa haivunjiki kanisani, kilichomlinda hapo ni kuwa mke wake alishafariki. Kwahyo hapo kachukuliwa kama muumini tu ambaye ni bachelor, maana wao hawatambui ile ndoa
 
Wakristo huwa hatumtengi mkristo yeyote kisa kwenda kinyume na neno la Mungu,

Atofautiani na mkristo alie ambiwa usiseme uwongo nae akasema uwongo.

So, hilo halifanyi kushindwa kumchukulia kama mkristo.
 
Huyu alikuwa mzinzi simama kwenye ukweli muogope mungu na makatazo yake
 
Habari za jioni wana jf na wapenzi jf
Niende kwenye mada mazima ili nielimishwe ni kigezo gani viongozi wetu wa dini wanakusudia kutumia kushiriki ibada ya mazishi ya mengi kikiristo
Nijuavyo mimi dini yetu ina utaratibu wake ukiwa nje ya utaratibu maana yake umepoteza sifa ya kuwa mkristo
Mengi alitengana na mke wake wa ndoa ya kikiristo akawa na mke mdogo kwa taratibu za kikiristo hawaruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja wanakutenga au kuishi na mke bila ndoa harali wanakutenga maana yake wewe si mkristo tena swali ni sahihi kufanya ibada ya mazishi ya mengi kikiristo? Ilihali alikuwa amejitenga kwa kumiliki wake wawili pia kuishi na mke bila ndoa ya kikristo
Naomba kuelimishwa hasa wachungaji na wainjilisti wa kkkt waliomo humu
Mke wake wa Kwanza Alishafariki akawa huru sana Dhambi siyo ngozi ya mwili mzee
 
Tafsiri ya mkristo ni kufuata nyendo na maagizo ya kristo unapokuwa nje ya hayo unaitwa mpagani usifunike kombe mwanaharamu apite simamia ukweli nao utakuwa huru nyosha maelezo kama ni sahihi au viongozi wamekengeuka hapo
Wakristo huwa hatumtengi mkristo yeyote kisa kwenda kinyume na neno la Mungu,

Atofautiani na mkristo alie ambiwa usiseme uwongo nae akasema uwongo.

So, hilo halifanyi kushindwa kumchukulia kama mkristo.
 
Hapana, uwe na dhambi usiwe na dhambi misa ya mazishi ni haki ya kila maiti.
Tafsiri ya mkristo ni kufuata nyendo na maagizo ya kristo unapokuwa nje ya hayo unaitwa mpagani usifunike kombe mwanaharamu apite simamia ukweli nao utakuwa huru nyosha maelezo kama ni sahihi au viongozi wamekengeuka hapo
 
Wakristo huwa hatumtengi mkristo yeyote kisa kwenda kinyume na neno la Mungu,

Atofautiani na mkristo alie ambiwa usiseme uwongo nae akasema uwongo.

So, hilo halifanyi kushindwa kumchukulia kama mkristo.
canon law umeisoma?? au mlipojimegua kutoka shina kuu mliisahau
 
Ndoa haivunjiki kanisani, kilichomlinda hapo ni kuwa mke wake alishafariki. Kwahyo hapo kachukuliwa kama muumini tu ambaye ni bachelor, maana wao hawatambui ile ndoa
Sivyo litakalo fungwa duniani na mbinguni litafungwa litalofunguliwa duniani na mbinguni litafunguliwa alikuwa mzinzi na watu wote wanalifahamu hilo viongozi wanatudharilisha ni wadhaifu wa kiroho na kimwili
 
Kuna taratibu za KKKT kuvunja ndoa, na Bible ina vigezo vya watu kuachana. Na kuna taratibu za kimila kuvunja ndoa. Mengi alishaachana na marehemu mke wake ndo maana mke wake alizikwa kwao.

Ni vyema Kujua ili ndoa ikamilike lazima ufuate taratibu za kimila (mahari ) viapo kibiblia (kanisani ) kusaini mikataba (serikali) .
 
Back
Top Bottom