Polisi Kanda maalumu kwa Kushirikiana na DCI wameanza kuchunguza video chafu za Gwajima

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
6B4B838F-711F-48D5-852C-86255DA68BB3.jpeg
 
Kwa hiyo polisi imeshindwa kumuita aliyesambaza ambaye Gwajima anadai anamjua.
So gwajima Yuko fiti kuliko polisi kiintelijensia.
Ila kama ni yeye gwajima kweli aswekwe ndani kabisa.
 
Nani amefungua docket polisi hadi waamue kufanya uchunguzi?huwezi kufanya uchunguzi bila ya kuwa na docket haya ndio matatizo ya kuishi ndani ya pithole country,mtanzania mwenzetu anapotea katika mazingira tatanishi nchi inaendelea ila picha za ngono zinasambaa nchi inasimama,ehe Mungu please take me away and never came back in this pithole country.
 
Kwa hiyo polisi imeshindwa kumuita aliyesambaza ambaye Gwajima anadai anamjua.
So gwajima Yuko fiti kuliko polisi kiintelijensia.
Ila kama ni yeye gwajima kweli aswekwe ndani kabisa.
Issue sio Gwajima kabisa kwa sababu hizo picha ni Personal (private).

Shida na nani aliye fanya makosa kwa kusambaza picha hizo kwa jamii.

Hata kama ni picha za Gwajima (its private issue) nani kasambasa na kugfanya kosa la kimtandano?

Pili Defamational, Kumchafua mtu, mumdhalilisha mtu, Kuhalibu heshima ya mtu.
 
A Person shall not PUBLISH or Cause to be Published through a computer system or any other information....

Sasa ukijirekodi mkuu huoni kuwa unasababisha kuwa Published kama video hiyo ikianguka mikononi mwa mtu mbaya. Ikumbukwe kuwa Simu Inatakiwa kuwa na Password kwa mujibu wa marekebisho ya sheria ya juzikati, Hivyo chochote ulichokitunza humo kikitoka nje wewe pia unaguhusika.
Asante kwa maarifa pia, kumbe kujirekodi sio kosa.
 
Back
Top Bottom