Kiwanda hiki kinatukosesha kuvuta hewa safi

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
2,918
1,993
KIwanda kinapatikana katika bonde LA MTO msimbazi huku sukita,imekuwa ni kero has a kwasisi wakazi wa upande huu wa Kigogo ukiwa maeneo haya harufu ya kama MTU anakaanga korosho tena ikiwa kama zinaungua ikiwa imeambatana na majivu meusi meusi uja upande huu.
Tafadhali wahusika mnaohusika na kupambana na uchafuzi wa hali ya hewa mtusaidie kuwafikia wahusika kwani ni wiki kadhaa zimepita hal hii inaendelea.
R.I.p dokta Mengi mwanazingira wa kupigiwa mfano
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom