Ombi la kutambua id baada ya mtu kufariki.

Ombi la kutambua id baada ya mtu kufariki.

mc bonm

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
243
Reaction score
245
Heshima kwenu wana JF. pia poleni kwa kuomboleza.
Nawaomba viongozi wa JF ikiwa mnamtambua verify Id za watu waliofariki mf: Dr. Mengi, Kibonde nk: mzitambulishe tuweze Kujua background (mitazamo) Yao. Naamini kuna la kujifunza hasa sisi Vijana.
 
Back
Top Bottom