Kupitia teknolojia hii, sura ya mtu yeyote inaweza kupandikizwa kwenye video ya mtu mwingine kwa nia ovu (potofu).
Kutokana na tukio la hivi karibuni, ni vizuri tukatambua uwepo wa hii...
GWAJIMA UTALAANIWA KWA AIBU ULIYOITIA FAMILIA YAKO NA KANISA KWA UJUMLA. HUNA MAADILI YA KITANZANIA KABISA LAKINI ZOTE HIZO NI LAANA MUNGU AMEKUPA. NA BADO UTATEKETEA SANA KWA MAOVU YAKO
Mimi nimetafakali Vitu vingi wakati Jana mwili wa marehemu Mzee, Lovely dady, Trillion, role model wetu ulipokuwa unapitishwa mitaani.
Yale machozi na huzuni ndio nimeamua kuleta hii tread hapa...
Wadau mambo vip? Ki ukweli leo Msiba wa Mengi umeamua kuweka unafiki pembeni kuhusu huyu mtoto wa Mfalme.
Paul Makonda kuhusu kuwazarau au kuleta ukabila kuhusu wachaga Mheshimiwa Mbowe kamcahana...
Mwenye taarifa zaidi atuwekee hapa, maana mm nimekutana nayo kwenye page ya Instagram ya mh Laurent Masha. Engineer Paul Chizi alikuwa mtaalamu wa mambo ya aviation, alikuwa kufanyakazi wa...
Kwa hii system yenu mtu akiwa na nyaraka zote anaweza sajili kampuni ndani ya siku moja tu. Namba ya huduma kwa wateja inamsaada sana japo haipokelewi 24 hrs kama mnavyodai.Ila mmetisha sana
Why did the chicken cross the road? Well in one German town we now know the answer: to get a drink of water. A zebra crossing with traffic signs for chickens was set up by a local resident as a...
Wakuu nataka niwe na PHD au Kama Vipi niwe Prof kabisa kisha niendelee na mishe zangu za maisha.
mbinu za mkato za kupata Uprof ndani na nje ya nchi ni zipi wakuu.
Ziwe halali sitaki kuja...
Wakuu hapa kuna mvua kubwa kweli kweli Pomoja na radi, imeanza tangu mida ya saa tano,Tuombeane uzima
Update
Hii mvua iliyonyesha leo Jumanne. Hapa haijawahi kutokea.
Tulishuhudia Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasa vyombo vya habari havikujishughulisha na kutuambia ukweli juu ya nani anahusika. Leo Mdude Nyangali baada ya kutojulikana kwa siku kadhaa...
Hakika umemaliza mwendo salama mzee kipenzi
Nimekuja nyumbani machame kwa ajili ya kukupumzisha mzee kipenzi cha watu
Umejitoa kwa maisha ya wengi ikiwemo mimi mwenyewe
Pumzika kwa amani...
Ni tumaini la kila mtu anaetumia juhudi kufanya kazi kua atapata mafanikio hasa mafanikio ya kiuchumi. Nimekua katia kautafika kangu kwa muda mrefu sana na baada ya kua na marafiki na hata ndugu...
Habari za leo wanaJF.
Ni siku kadhaa zimepita sasa tangu serikari yetu tukufu ya Tanzania imetoa onyo la kusitishwa kwa matumizi ya mifuko ya plastiki na nailoni.Hili ni jambo jema kabisa kwa...
Inafahamika dunia nzima kwamba wanawake ndiyo wanaobeba ujauzito, lakini je, umewahi kudhani kwamba inawezekana kwa mwanaume kubeba ujauzito kwa miezi tisa na kujifungua?
Vuta picha unakutana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.