Mnakwama wapi nyinyi???

Mnakwama wapi nyinyi???

Mtemikwila

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
1,389
Reaction score
1,067
WANAUME WA DAR MNAKWAMA WAPI??
KWENYE KALE KACLIP KA MCHUNGA KONDOO WA DAR AKICHINJA KONDOO WAKE SISI WANAUME WA MIKOANI TUNAJIULIZA MASWALI HAYA

1. Mwanaume kamili unatumiaje dakika 1 na sekunde 36 kufka galilaya ???? aisee mnazingua unafkir manzi unamwacha hali gani hapo ??

2. Mwanaume upo kazini mda wa kuset set camera unatoa wapi mbona mnakosa serious na huu mchezo ???

3. Mwanaume unatumiaje style moja tu hadi unafika galilaya???

4. Mwanaume unapigaje mauno kizembe kama unaumwa nyonga vile?? Hebu kueni serious😄

5. Mwanaume unashindwaje kumtekenya mtoto kisawa sawa had haoneshi ushirikiano kajilalia tu😄 ??

kiukweli sisi wanaume wa mkoani tumelipokea kwa masikitiko swala lile tunaomba mtutake radhi

Acheni kukwama kijingajinga....
 
eti wanaume wa mkoani wanabebwa na Maji ya kwenye mtaaro
 
Ataita waandishi kesho atalitolea ufafanuzi. Subiri
 
labda alikuwa anaanzaa njia. hatujui kilichoendelea nje ya kamera
 
Back
Top Bottom