Kikuu acheni ubabaishaji

joyce juma

New Member
Feb 17, 2019
2
45
Nimenunua bidhaa kupitia KIKUU biashara ya mitandao mwaka pili sasa ila wameanza ufigisufigisu sasa.Bidhaa inaonyesha imeshafika Dar es Salaam Ofisini kwao wiki na nusu lakini hawanipi taarifa lini nitaipata.Ukiwauliza wanasema watanipigia simu nikauchukue.Inaanza kunikatisha tamaa ya kuagiza mizigo mingine..
 

Damaso

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
781
1,000
Nenda ofisini kwao wakati mwingine wanakuwa wapuuzi sana. Mimi ilichukua more than three months kuletewa saa 2 na pair moja za vitu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom