KELELE ZA KUSHANGILIA MPIRA

KELELE ZA KUSHANGILIA MPIRA

drilling

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
4,905
Reaction score
5,088
nawaomba wahusika hasa mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa hawa wenye vibanda vya kuonyesha mipira mitaani majirani wanashindwa kulala hata watoto hawalali mapema kwa kelele za washangiliaji. naomba suala hili mlishughulikie hapa ILALA MTAA BUKOBA NA ARUSHA kuna kibanda cha mabati watazamaji wa mpira huyapiga yale mabati ya kibandani majirani wote wanakaa macho hawana lakufanya naomba mkuu wa wilaya tuma watu washuhudie watu wanakosa raha ya kupumzika
 
Nenda kapoteze muda hapo barafaa kidogo mpaka mpira uishe. Ila kila siku najiuliza huyo jamaa alipataje banda hapo mtaa wa bukoba. Maana watu wa mitaa hiyo hawapendi kelele kabisa.
 
Tatizo la kuishi uswazi ndio hapo,mambo ni Moto mkuu kwa hili la leo haikuwa rahisi kunyamaza.
 
nawaomba wahusika hasa mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa hawa wenye vibanda vya kuonyesha mipira mitaani majirani wanashindwa kulala hata watoto hawalali mapema kwa kelele za washangiliaji. naomba suala hili mlishughulikie hapa ILALA MTAA BUKOBA NA ARUSHA kuna kibanda cha mabati watazamaji wa mpira huyapiga yale mabati ya kibandani majirani wote wanakaa macho hawana lakufanya naomba mkuu wa wilaya tuma watu washuhudie watu wanakosa raha ya kupumzika
Mkuu ilala hakuna huo mtaa wa bukoba na arusha acha uboya. Mtaa wa bukoba unaishia mtaa wa tukuyu, ukija mtaa wa arusha mtaa wa bukoba umezibwa na kanisa. Kwa kifupi mtaa wa bukoba hautokei mtaa wa arusha umezibwa na kanisa.
 
Unapanda daladala then hutaki kusikia harufu ya jasho??!!..this is crazy
 
Mkuu ilala hakuna huo mtaa wa bukoba na arusha acha uboya. Mtaa wa bukoba unaishia mtaa wa tukuyu, ukija mtaa wa arusha mtaa wa bukoba umezibwa na kanisa. Kwa kifupi mtaa wa bukoba hautokei mtaa wa arusha umezibwa na kanisa.
Ha ha ha ha, imebidi nicheke tu. Japokua mi sio mleta mada lakini acha nikusahihishe kidogo.

Mtaa was bukoba hauishii mtaa was tukuyu. In kweli kwa mtu yeyote mgeni asiyeijua vizuri ilala anaweza sema hivyo. Lakini unaendelea na unakuja kuishia ulipo mtaa wa Tabora.

Ili uendelee na mtaa wa bukoba njoo mpaka mtaa wa Arusha ilipokua maskani ya Ilala zone zamani. Utaona mtaa wa bukoba unaendelea. Lile kanisa lisikuchanganye ndugu.

Naongea hivyo kwa sababu hiyo ndio mitaa yangu ya kukidai.
 
Ndio madhara ya kuandika na huku umekalia kitu chenye ncha kali.
 
Hawawezi kugushwa wengi wanaotizama mipira kwenye hivyo vibanda umiza ni watu WA kipato cha chini ,wenye elimu duni sana ila ni wanachama WA ccm kufa kuoza

Back
Top Bottom