Mpaka sasa hakuna anayemjua mwanamke aliyerecod video na Gwajima?

kidadari

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
8,647
9,574
Inasambaa video inayodhaniwa ni ya Gwajima akingonoka na binti/mwanamke.,Mwanamke anayeonekana kwa mwonekano wa kawaida ni smart na kwa asilia flani ni maarufu kwa kiasi chake je?
1. Mpaka sasa hakuna anayejua huyo mwanamke ni nani jina lake halisi?
2. Aliyeleta picha zake zaidi ya ya ile kwenye video amezipata wapi maana tunatarajia kuona walau picha 6 akiwa maeneo tofuti tofauti.
3. Mwanamke huyo hatumii mtandao wowote wa kujamii Fb, insta, twitter n.k?
4. Kwenye video sura ya mwanamke ni ngumu kumtambua kwa urahisi je aliyetoa picha nyingine alifahamu vipi?

NB: Isije ikawa ni mwanamke wa Ghana au Namibia tunaunganishiwa story tuu hapa
 
Cheki chombo hikooo
IMG-20190508-WA0006.jpeg
 
Mtu kasetiwa mtego kajaa. Mwanamke alikuwa anajua kinachoendelea ndo maana alijitahid kuhide uso wake me navyoona mzee kaingia box ya wabaya wake hataa utetezi hauna nguvu kabisa.
Hakuna mkamilifu chini ya juaa muungwana nguo ikikudondoka unachutama ukianza perepechee nikutaka kufumua vingine mambo yajezidi haribika zaidi
 
Mademu wa king bongo akishajijua ni mzuri hawezi kokosa social media account, sasa hii inashangaza kuona huyu hana social media account na kwa kifupi hajulikani. Hapo ndipo nashawishika kusena ni ya kutengenezwa, kama kwenye movie mtu anapigwa risasi anakufa itashindikana nn kutengeneza hizi
 
Huyu demu alisetiwa na inawezekana hata siyo mtanzania. Na ila nimehisi demu anaweza kuwa ni muathirika wa virusi vya UKIMWI ili wammalize vizuri Gwajima akapime maana alikula kavukavu. Hii inanikumbusha wafilisiti walivyomuweza Samson kwa mtego wa Delila. Ndege mjanja hunaswa na tundu bovu.
 
Nani alikwambia ukipiga kavu ,maambukizi ni 100% kwa mwanaume.Kama unao Nipe Mimi nipige uone kama ntapata!
 
Huyu demu alisetiwa na inawezekana hata siyo mtanzania. Na ila nimehisi demu anaweza kuwa ni muathirika wa virusi vya UKIMWI ili wammalize vizuri Gwajima akapime maana alikula kavukavu. Hii inanikumbusha wafilisiti walivyomuweza Samson kwa mtego wa Delila. Ndege mjanja hunaswa na tundu bovu.
Hapa unatia chumvi....kav umeona wap wakat haionekan sofar sio kuzingusha mauno kwenye mapaja huku amenyosha miguu......hyo video fake
 
Inasambaa video inayodhaniwa ni ya Gwajima akingonoka na binti/mwanamke.,Mwanamke anayeonekana kwa mwonekano wa kawaida ni smart na kwa asilia flani ni maarufu kwa kiasi chake je?
1. Mpaka sasa hakuna anayejua huyo mwanamke ni nani jina lake halisi?
2. Aliyeleta picha zake zaidi ya ya ile kwenye video amezipata wapi maana tunatarajia kuona walau picha 6 akiwa maeneo tofuti tofauti.
3. Mwanamke huyo hatumii mtandao wowote wa kujamii Fb, insta, twitter n.k?
4. Kwenye video sura ya mwanamke ni ngumu kumtambua kwa urahisi je aliyetoa picha nyingine alifahamu vipi?

NB: Isije ikawa ni mwanamke wa Ghana au Namibia tunaunganishiwa story tuu hapa
mbona mna low thinking hivyo... huyo mwanamke kumfahamu inasaidia nn..ama unataka kusema yule si mwanamke??

Hapa anaongelewa Gwajima bishop.. anayehubiria watu kutubu dhambi zao..na video zinaonyesha n yy hata sauti ni yake..
 
Sie hatumtaki gwajima tunamtaka huyo dada gwajima tunamjua vizur tu
 
Sina Virus mimi. Na kavu kwangu ni mwiko. Ndo maana nikasema akapime. Probability ya kuambukizwa ukipiga kavu ni kubwa.
Probability ni kubwa but jua c hundred percent for the first time kwa mwanaume.We unapiga tako moja unamwaga wazungu !!!!Wanaume wengi tu washachapa watu wenye ngoma kavu believe me na hawana.
 
Back
Top Bottom