Makonda leo ukisama Nchale ukikaa nchale..!!

Masue 1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
698
Reaction score
1,236
Wadau mambo vip? Ki ukweli leo Msiba wa Mengi umeamua kuweka unafiki pembeni kuhusu huyu mtoto wa Mfalme.
Paul Makonda kuhusu kuwazarau au kuleta ukabila kuhusu wachaga Mheshimiwa Mbowe kamcahana live furthermore Askofu mkuu wa KKKT nae kasema vijana wadogo wanapewa madaraka wanavimba kama puff harder aina ya nyoka. #mndumiiulutaremee
 
Bhebe neke akulonga duhu! ipo siku yake
 
Wadau mambo vip? Ki ukweli leo Msiba wa Mengi umeamua kuweka unafiki pembeni kuhusu huyu mtoto wa Mfalme.
Paul Makonda kuhusu kuwazarau au kuleta ukabila kuhusu wachaga Mheshimiwa Mbowe kamcahana live furthermore Askofu mkuu wa KKKT nae kasema vijana wadogo wanapewa madaraka wanavimba kama puff harder aina ya nyoka. #mndumiiulutaremee
Enzi zetu wakuu wa mikoa walikua ni watu wazima na wasomi wanao jitambua.
Sasa leo ona.
Makonda......wachagga hawasaidii maskini
Chalamila....Magufuli rulling party
Heppy..........
Kule Arusha nako.......
Ngoma iko Kigoma
 
Walipita viburi kwenye mgongo huu wa ardhi ambao walikuwa na nguvu lakini mwisho walibaki udongo tu
 
Wadau mambo vip? Ki ukweli leo Msiba wa Mengi umeamua kuweka unafiki pembeni kuhusu huyu mtoto wa Mfalme.
Paul Makonda kuhusu kuwazarau au kuleta ukabila kuhusu wachaga Mheshimiwa Mbowe kamcahana live furthermore Askofu mkuu wa KKKT nae kasema vijana wadogo wanapewa madaraka wanavimba kama puff harder aina ya nyoka. #mndumiiulutaremee
ngakuwia lee.Askofu ulya nadeda madedo makali sana aisee.Yani limakondali likeri cha lisembo.Madedo wala yadedo na Askofu shoo hamakari sana aisee
 
Ila Shiteboy ana inye/mkia/msamwanda/chura/mapato/chupi kubwa kuliko wadada wengine wa JF ,kawapiga bao wadada kibao wa JF tu . Mdada anae bisha aweke picha yake hapa.
 
ngakuwia lee.Askofu ulya nadeda madedo makali sana aisee.Yani limakondali likeri cha lisembo.Madedo wala yadedo na Askofu shoo hamakari sana aisee
Mboli puturu nkosampupu Mengi ntofastyu uliguvunthe bo' ntutufye pufe'e vyomkito Askofu.
 
ngakuwia leka monowama.Limakondali lye ili mofyinya chu acha leka madaraka 2025 ibidi lihende Rwanda kifa kunu Tz wandu weidima likapa risasi tsa dako.
 
Usikute huyo Mlengwa nae anajua hilo ni dongo la mtu mwingine😂😂😂😂...Anaombewa msamaha hapa
 
Back
Top Bottom