Arusha Usiku huu mvua kubwa na Radi

Ni kweli mi mwenyewe nashangaa kuona matope nje ya nyumba shughuli ya jana haikuwa ya kitoto asee!
 
Baadhi ya mada raja yamesombwa, miti kudondoka
Dah na miss chuga sana na mvua ya radi. Yani ndio ianzie Friday night umenunua na kuweka msosi na madikodiko yote ya weekend hamna kutoka nje hadi Monday morning huku hupo na demu wako ndani ya blanket ameegemeza kichwa kifuani mwako baada ya mechi kali akisikia mapigo ya moyo. Darini paa la bati likia kwa sauti.

Dah namkumbuka Asha nusu mrangi na mpare.

Haya maisha maamaee

CcYamakagashi
 
Back
Top Bottom