Nawaza: Kinachowaponza polisi sio mishahara midogo, ni pombe na wanawake

Andie

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
713
1,641
Ni tumaini la kila mtu anaetumia juhudi kufanya kazi kua atapata mafanikio hasa mafanikio ya kiuchumi. Nimekua katia kautafika kangu kwa muda mrefu sana na baada ya kua na marafiki na hata ndugu wanajeshh na polisi nimegundua kua hawa jamaa wengi wao maisha wanayoishi ni ya hali ya chini.

Ukisikia watu wanavyosema juu ya suala hili ni kwamba wanapewa "mishahara midogo" kitu ninachopingana nacho kwa hoja madhubuti.

>Kwanza hawa jamaa kila mwaka wanaongezewa mishahara na serikali tofauti na watumishi wengine.

> Pili hawa jamaa wanapewa posho tofauti na matumishi wengine. jamaa manapewa posho ya chakula 300,000 na posho ya vinywaji 100,000 hebu fikiria posho peke yake wanapewa 400,000 hiyo ni posho tu !!.

>Tatu hawa jamaa wanamarupurupu ya kiwango cha Standard Garge Railway. ulishawah kuwaza kwa siku askari trafiki anatengeneza shiling ngapi ?! ushawahi kuwekwa selo lock up na ukatoka bila kutoa 30,000 ?! Ushawahi kuwaza ni watu wangai wanaingia na kutoka selo kila siku ?? Sasa kama ni hivyo kua hawa jamaa wanapewa mishahara minono, wana posho nono na wanamarupurupu manono kipi kinasababisha wawe na maisha yasioridhisha ?! ok kaa hapo hapo, nikujuze.

Hawa jamaa bwana wana mambo yanawakabili sijajua ni kujiendekeza, ni amri wanapewa au nikuiga wanaigana. hua wana W tatu yani WWW yanini Women, War and Whisky. niambie ushawahi kuona polisi hapendi wanawake ?! nitafutie nikamsalimie.
Ushawahi kuona polisi asie na ubabe yani War inasimamia ubabe japo hili haliwapotezei kipato twende W ya tatu Whisky pombe pombe, ushaona polisi hanywi pombe ?!, niite nikamnunulie bagia. hawa jamaa ni watu wa kupinga tungi haswa wanaaitwa bench drinkers, yani ni unywaji uliopitiliza.

Ushajiuliza mtu anaekunywa bia 5 tu kwa siku, kwa mwaka anatumia kiasi gani ?! kwa mwaka anatumia angalau 6,400,000 hapo hajatoa offer, hajahonga kama nilivyoeleza jamaa wanapenda wanawake balaa. Tuseme anatoa ofa bia mbili tu kwa siku na anahonga 30,000 kwa wiki nzima kwa mwaka ataukua katumia 1,600,000 hapo jumla roughly kwa mwaka kunywa kwa kujibana na kutoa ofa nakuhonga kwa kujibana atatumia 7,000,000 million saba na upuuzi na hapo hela ya boda boda au unadhani atatembea amelewa bado hajaibiwa balance na mabamedi kwa mwendo huo kwa nini asiwe na maisha duni ?!

Mwisho, nadhani pia ni mkakati mahususi wa kuwafanya wawe hivi ili waweze kutumika vizuri, unadhani polisi akitumia fedha yake vzur miaka mitano si atakua tajiri, je atakubali kwenda lindo ?. Nadhani mamlaka hua zina utaratibu wa kuwafanya wawe watu wa anasa ili wasiwaze mambo makubwa. Nashawishika kusema hivyo kutokana na taratibu kadhaa,

> kwanini wajengewe bar maeneo ya kambi za polisi na jeshini tena kwa bei nusu punguzo (nadhani huu ni mkakati wa kuwabatiza wale wasiokunywa, wapate upako kwa jina la Tusker, Balimi na imani kali kwa Safari lager)

> Kwanini wapewe posho ya vinywaji (Hii nadhani ni kuwapumbaza phycogical brainwashing wawaze kua wakinywa hawapotezi kipato maana wamepewa posho ya kunywea ila mwishowa siku hela yote hata mshahara wote utaishia huko)

Binafsi sinywi pombe ila nikikutana na polisi ambao wako wengi ndugu na marafiki zangu hua nawapa offer ya bia maana nadhani jamaa wanahitaji pombe maana hata mamlaka zinawabatiza katika unywaji. Nitoe tu rai kua hata wewe potote ulipo ukikutana na poti list then mpe offer ya bia, ila ndo wasilalamikie mishahara midogo, mazoea yao ya pombe na wanawake ndo yanawaponza.

nawasilisha.
 
hizo posho ni kwa askari wa kiwango gani? maana laki nne ni mshahara wa askari huo. concept yako ni kweli ila data za posho sio sahihi
 
Hiyo point ya kusema wanapenda wanawake unawaonea
Kuna mwanaume hapendi wanawake??????
 
Ni tumaini la kila mtu anaetumia juhudi kufanya kazi kua atapata mafanikio hasa mafanikio ya kiuchumi. Nimekua katia kautafika kangu kwa muda mrefu sana na baada ya kua na marafiki na hata ndugu wanajeshh na polisi nimegundua kua hawa jamaa wengi wao maisha wanayoishi ni ya hali ya chini. Ukisikia watu wanavyosema juu ya suala hili ni kwamba wanapewa "mishahara midogo" kitu ninachopingana nacho kwa hoja madhubuti. Kwanza hawa jamaa kila mwaka wanaongezewa mishahara na serikali tofauti na watumishi wengine. Pili hawa jamaa wanapewa posho tofauti na matumishi wengine. jamaa manapewa posho ya chakula 300,000 na posho ya vinywaji 100,000 hebu fikiria posho peke yake wanapewa 400,000 hiyo ni posho tu !!.
Tatu hawa jamaa wanamarupurupu ya kiwango cha Standard Garge Railway. ulishawah kuwaza kwa siku askari trafiki anatengeneza shiling ngapi ?! ushawahi kuwekwa selo lock up na ukatoka bila kutoa 30,000 ?! Ushawahi kuwaza ni watu wangai wanaingia na kutoka selo kila siku ?? Sasa kama ni hivyo kua hawa jamaa wanapewa mishahara minono, wana posho nono na wanamarupurupu manono kipi kinasababisha wawe na maisha yasioridhisha ?! ok kaa hapo hapo, nikujuze.

Hawa jamaa bwana wana mambo yanawakabili sijajua ni kujiendekeza, ni amri wanapewa au nikuiga wanaigana. hua wana W tatu yani WWW yanini Women, War and Whisky. niambie ushawahi kuona polisi hapendi wanawake ?! nifuate nijamsalimie.
Ushawahi kuona polisi asiena ubabe yani War inasimamia ubabe japo hili haliwapotezei kipato twende W ya tatu Whisky pombe pombe, ushaona polisi hanywi pombe ?!, nite nikamnunulie bagia. hawa jamaa ni watu wa kupinga tungi haswa inaitwa bench drinkers, yani ni unywaji uliopitiliza.

Ushajiuliza mtu anaekunywa bia 5 tu kwa siku, kwa mwaka anatumia kiasi gani ?! kwa mwaka anatumia angalau 6,400,000 hapo hajatoa offer, hajahonga kama nilivyoeleza jamaa wanapenda wanawake balaa. Tuseme anatoa ofa bia mbili tu kwa siku na anahonga 30,000 kwa wiki nzima kwa mwaka ataukua katumia 1,600,000 hapo jumla roughly kwa mwaka kunywa kwa kujibana na kutoa ofa nakuhonga kwa kujibana atatumia 7,000,000 million saba na upuuzi na hapo hela ya boda boda au unadhani atatembea amelewa bado hajaibiwa balance na mabamedi kwa mwendo huo kwa nini asiwe na maisha duni ?!

Mwisho, nadhani pia ni mkakati mahususi wa kuwafanya wawe hivi ili waweze kutumika vizuri, unadhani polisi akitumia fedha yake vzur miaka mitano si atakua tajiri, je atakubali kwenda lindo ?. Nadhani mamlaka hua zina utaratibu wa kuwafanya wawe watu wa anasa ili wasiwaze mambo makubwa. Nashawishika kusema hivyo kutokana na taratibu kadhaa,

> kwanini wajengewe bar maeneo ya kambi za polisi na jeshini tena kwa bei nusu punguzo (nadhani huu ni mkakati wa kuwabatiza wale wasiokunywa, wapate upako kwa jina la Tusker, Balimi na imani kali kwa Safari lager)

> Kwanini wapewe posho ya vinywaji (Hii nadhani ni kuwapumbaza phycogical brainwashing wawaze kua wakinywa hawapotezi kipato maana wamepewa posho ya kunywea ila mwishowa siku hela yote hata mshahara wote utaishia huko)

Binafsi sinywi pombe ila nikikutana na polisi ambao wako wengi ndugu na marafiki zangu hua nawapa offer ya bia maana nadhani jamaa wanahitaji pombe maana hata mamlaka zinawabatiza katika unywaji. Nitoe tu rai kua hata wewe potote ulipo ukikutana na poti mpe offer ya bia, ila ndo wasilalamikie mishahara midogo, mazoea yao ya pombe na wanawake ndo yanawaponza.

nawasilisha.
Wewe jamaa huu uzi wako umeandika kwa jazba sana au jamaa ndo washakuchulia demu wako!!! Ebu nikuulize, ni serikali gani hyo inayoongezea wafanyakazi wake wa kada fulani mshahara kila mwaka?! Huu ni uongo wa kiwango cha zaidi ya SGR. Halafu eti kila mwanajeshi/polisi ni mpenda wanawake na pombe!! Kwanza kabisa ujue unapokuwa na mshiko wanawake wanajileta wenyeewe maana wao si wapenda pesa,sasa hapo ndo akili kumkichwa utembee nao au uwashit! Halafu kwa taarifa yako majeshi ndio taasisi zilizokusanya karibu tabia zote za watu waliopo duniani, wenye elimu ndogo na kubwa,wakali na wapole, wazinzi na wasiowazinzi, walevi, wanywaji na wasiokunywa pombe, watu wa dini na wasiochukulia dini sirias, wambea,wasengenyaji, wenye majungu na wastaarabu, ngumi mkononi na wapole pia, name any. Sasa nakushangaa unavosema eti wanajeshi/polisi ni walevi na wapenda wanawake unawafahamu wote tabia zao?! Umekurupuka mjomba fanya tafiti yako tena!! Tunaishi nao hao watu mtaani huku kuna ambao ni wastaarabu sana wamejenga wana familia wana magari na sio kama unavotaka kutuaminisha wewe!!
 
Weka mishahara kwanza maana yawezekana mshahara laki 2 posho laki 4!
Muda wa kazi je upo je? Maana hawa jamaa wapo kazini mchana kutwa weekend wapo kazini, usiku wapo kazini, wewe ukiwa kanisani jumapili wao wapi kazini!!
Kiufupi hawana muda wa kufanya kazi binafsi.
Pia askari uanaowaona barabarani hawafiki hata 20% ya askari wote so sio kila askari ana chance ya kula rushwa.
Pia kuna Magereza na Zimamoto hawa wanachukua rushwa wapi?
 
hizo posho ni kwa askari wa kiwango gani? maana laki nne ni mshahara wa askari huo. concept yako ni kweli ila data za posho sio sahihi
Nadhani hawa jamaa nadhani wamebanwa sana hawana muda wa kufanya kazi binafsi usiku wapo kazini mchana wapo kazini weekend pia kazini....sikukuu kam Eid christmass wapo kazini! Pia aweke mshahara tuone maana wapo wafanyakazi wana posho mapka 1M per month
 
Ni tumaini la kila mtu anaetumia juhudi kufanya kazi kua atapata mafanikio hasa mafanikio ya kiuchumi. Nimekua katia kautafika kangu kwa muda mrefu sana na baada ya kua na marafiki na hata ndugu wanajeshh na polisi nimegundua kua hawa jamaa wengi wao maisha wanayoishi ni ya hali ya chini.

Ukisikia watu wanavyosema juu ya suala hili ni kwamba wanapewa "mishahara midogo" kitu ninachopingana nacho kwa hoja madhubuti.

>Kwanza hawa jamaa kila mwaka wanaongezewa mishahara na serikali tofauti na watumishi wengine.

> Pili hawa jamaa wanapewa posho tofauti na matumishi wengine. jamaa manapewa posho ya chakula 300,000 na posho ya vinywaji 100,000 hebu fikiria posho peke yake wanapewa 400,000 hiyo ni posho tu !!.

>Tatu hawa jamaa wanamarupurupu ya kiwango cha Standard Garge Railway. ulishawah kuwaza kwa siku askari trafiki anatengeneza shiling ngapi ?! ushawahi kuwekwa selo lock up na ukatoka bila kutoa 30,000 ?! Ushawahi kuwaza ni watu wangai wanaingia na kutoka selo kila siku ?? Sasa kama ni hivyo kua hawa jamaa wanapewa mishahara minono, wana posho nono na wanamarupurupu manono kipi kinasababisha wawe na maisha yasioridhisha ?! ok kaa hapo hapo, nikujuze.

Hawa jamaa bwana wana mambo yanawakabili sijajua ni kujiendekeza, ni amri wanapewa au nikuiga wanaigana. hua wana W tatu yani WWW yanini Women, War and Whisky. niambie ushawahi kuona polisi hapendi wanawake ?! nifuate nijamsalimie.
Ushawahi kuona polisi asiena ubabe yani War inasimamia ubabe japo hili haliwapotezei kipato twende W ya tatu Whisky pombe pombe, ushaona polisi hanywi pombe ?!, nite nikamnunulie bagia. hawa jamaa ni watu wa kupinga tungi haswa inaitwa bench drinkers, yani ni unywaji uliopitiliza.

Ushajiuliza mtu anaekunywa bia 5 tu kwa siku, kwa mwaka anatumia kiasi gani ?! kwa mwaka anatumia angalau 6,400,000 hapo hajatoa offer, hajahonga kama nilivyoeleza jamaa wanapenda wanawake balaa. Tuseme anatoa ofa bia mbili tu kwa siku na anahonga 30,000 kwa wiki nzima kwa mwaka ataukua katumia 1,600,000 hapo jumla roughly kwa mwaka kunywa kwa kujibana na kutoa ofa nakuhonga kwa kujibana atatumia 7,000,000 million saba na upuuzi na hapo hela ya boda boda au unadhani atatembea amelewa bado hajaibiwa balance na mabamedi kwa mwendo huo kwa nini asiwe na maisha duni ?!

Mwisho, nadhani pia ni mkakati mahususi wa kuwafanya wawe hivi ili waweze kutumika vizuri, unadhani polisi akitumia fedha yake vzur miaka mitano si atakua tajiri, je atakubali kwenda lindo ?. Nadhani mamlaka hua zina utaratibu wa kuwafanya wawe watu wa anasa ili wasiwaze mambo makubwa. Nashawishika kusema hivyo kutokana na taratibu kadhaa,

> kwanini wajengewe bar maeneo ya kambi za polisi na jeshini tena kwa bei nusu punguzo (nadhani huu ni mkakati wa kuwabatiza wale wasiokunywa, wapate upako kwa jina la Tusker, Balimi na imani kali kwa Safari lager)

> Kwanini wapewe posho ya vinywaji (Hii nadhani ni kuwapumbaza phycogical brainwashing wawaze kua wakinywa hawapotezi kipato maana wamepewa posho ya kunywea ila mwishowa siku hela yote hata mshahara wote utaishia huko)

Binafsi sinywi pombe ila nikikutana na polisi ambao wako wengi ndugu na marafiki zangu hua nawapa offer ya bia maana nadhani jamaa wanahitaji pombe maana hata mamlaka zinawabatiza katika unywaji. Nitoe tu rai kua hata wewe potote ulipo ukikutana na poti mpe offer ya bia, ila ndo wasilalamikie mishahara midogo, mazoea yao ya pombe na wanawake ndo yanawaponza.

nawasilisha.
Hisia kali za jamaa
 
Back
Top Bottom