Tanzania Indians have a lot to learn about Dr Mengi’s Life!

... ni kweli Mkuu! Miongoni mwa matatizo yanayoikumba nchi yetu hii ni udumavu wa akili ambao kwa sehemu kubwa umetokana na muingiliano hafifu wa wananchi. Utakuta jamii nyingi wanaoana wao kwa wao; kijijini huko watu wameoana hao hao, wamezungukana weee hadi wamejirudia.

Bila kuwa na mchanganyiko mkubwa wa damu taifa litaendelea kudumaa. Shime wahindi na waarabu wa kitanzania changamananeni mitaani na vijijini huko, oaneni na watanzania weusi, na vijana weusi wa kitanzania wajitwalie mabinti wa kihindi na kiarabu - dini au rangi zisiwe vikwazo. Miaka 100 ijayo mtaona matokeo.
 
Sisi indiani iko saidia sana pira ya Tanzania kama pale simbazi hela mingi Sisi natoa bure Halafu chezaji mingi Sisi nalipa Sahara kuba ma rupurupu juri iko namna mingi Sisi saidia makini bana
 
Hivi ni mtanzania gani mwenye asili yake kimatumbi anayetoka na demu wa kihindi maana wao wansjipigia tu dada zetu Yaani waburushi WA mbarali wahindi lao moja
 
Hamna kitu kama hicho wewe... Kaoe masai mwenzako usituharibie dada zetu...
 
Wanawake wepesi kuoa ni wazungu tu ingawa tunawaona wabaguzi.Hizi rangi nyingine kuoa dada zao sio rahisi
 
Pira ya Tanzania haweji endelea bila pesa ya wahindi iko afrikan mingi naomba Sisi saada nasisi napatia lakini sisi napigwa teke ya punda basi Baba Mungu binguni najua Kama Sisi dhulumati au nasingiziwa tu
 
To be honesty I hate those people .

I don't like Indians ,they are the most Racist people in this world

Na vile walivyo wachafu chafu aaargh kinyaa
Wenyewe pesa zao ni nje ya nchi wakishastaafu! Wengine wamebakia katikati ya miji. Pesa nyingi wanatumia kwenye magari ya kifahari kama Lamborghini nk. Usiku ukifika wanawatesa wabongo katikati ya jiji. Kwakweli wangekuwa na nusu tu ya roho ya mtu kama Mengi, Taifa lingekuwa mbali sana! Kwanza huo ujenzi tu.
 
Back
Top Bottom