Tanzia: Paul Chizi afariki Dunia.

Tanzia: Paul Chizi afariki Dunia.

mgodi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
2,780
Reaction score
1,852
Mwenye taarifa zaidi atuwekee hapa, maana mm nimekutana nayo kwenye page ya Instagram ya mh Laurent Masha. Engineer Paul Chizi alikuwa mtaalamu wa mambo ya aviation, alikuwa kufanyakazi wa airtanzania na alifikia hadi level za mkurugenzi. Pia alikuwa mkurugenzi wa Community airline, na alifanikiwa sana kwenye kuleta unafuu wa bei za nauli za ndege.
20190508_225201.jpeg
 
Mwenye taarifa zaidi atuwekee hapa, maana mm nimekutana nayo kwenye page ya Instagram ya mh Laurent Masha. Engineer Paul Chizi alikuwa mtaalamu wa mambo ya aviation, alikuwa kufanyakazi wa airtanzania na alifikia hadi level za mkurugenzi. Pia alikuwa mkurugenzi wa Community airline, na alifanikiwa sana kwenye kuleta unafuu wa bei za nauli za ndege.View attachment 1092191
mambo ni mengi muda ni mchache,,acha tumzike mengi kwanza alafu tuyamalize ya mdude,turudi kwa gwajima,tumalizie kwa Kangi Lugola alafu ndio tumzike huyuuu
 
Huyu sio yule Chizi mwizi wa kura aliyekuwa anatumika na CCM baadae akahama na Lowassa kwenda kuwazuga upinzani?

Apumzike kwa amani!
 
Pole kwa nyoote mlioguswa na huu msiba....
 
Mwenye taarifa zaidi atuwekee hapa, maana mm nimekutana nayo kwenye page ya Instagram ya mh Laurent Masha. Engineer Paul Chizi alikuwa mtaalamu wa mambo ya aviation, alikuwa kufanyakazi wa airtanzania na alifikia hadi level za mkurugenzi. Pia alikuwa mkurugenzi wa Community airline, na alifanikiwa sana kwenye kuleta unafuu wa bei za nauli za ndege.View attachment 1092191
Apumzike kwa amani
 
Ana uzee gani? Na Malkia Uingereza utasemaje?
Mtu hafi kwa sababu ni Mzee
Ugonjwa ndio unaua sio uzee..
Uache kukurupuka muda mwingine, sijasema kafa kisa kazeeka ila mtu akishazeeka wastani wake wa kufa unakuwa mkubwa zaidi.

Mzee kama huyo akifa haina haja ya kulia alishatimiza yaliyomleta duniani kwa hiyo ni furaha tu vigeregere usitake nikudharau
 
mambo ni mengi muda ni mchache,,acha tumzike mengi kwanza alafu tuyamalize ya mdude,turudi kwa gwajima,tumalizie kwa Kangi Lugola alafu ndio tumzike huyuuu
Hako kamsemo kako, 'mambo ni mengi....' kametumika sana ktk mitandao ya kijamii, sasa kameanza ku-bore!
 
Back
Top Bottom