Pete yenye mnasema karet (sijui kama nimeitamka sawa) 18, na uzito wa gram 2..kiuhalisia mdau wa madini unaweza kuichukua kwa shilingi ngapi.
Asanteni.
Habari wakuu,hamjambo ? Naomba niende kwenye hoja yangu
Nimekuwa mdau Mkuu Wa elimu kwa miaka mingi sana toka enzi za ulipaji karo hadi elimu bure,nashukuru na kumpongeza rais kwa kujitahidi...
Kuna baadhi ya tabia huwezi kuzishuhudia zikitokea jamatini au msikitini japo watu na waalikwa ni wale wale.
Nyumba yangu ni nyumba ya sala siyo pango la wanasiasa.
Mwenye masikio na asikie!
wasalaam,
Mada tajwa hapo juu👆👆
Wakuu mimi ni kijana ninayejitahidi kuumiza kichwa sana kuyasaka maisha lakini kwakweli hali ni ngumu,
Nimetafuta maisha sana,
Wakuu naumia sana kuona vijana...
Kiwanja kinauzwa Dodoma, Mahali panaitwa Msalato, Ni umbali wa km 15 kutoka mjini kati kuelekea barabara ya Arusha. Pia umbali wa mita 300 kutoka barabarani
-UKUBWA wake ni 919SQM
- BEI Tsh 8M...
Mbunge wa Mbozi (CHADEMA), Pascal Haonga ametakiwa kutoripoti tena polisi hadi watakapomuita au akiambia vinginevyo.
Akizungumza jana Alhamisi Mei 9, 2019 katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma...
Hili shirika la kikristo serikali iwaangalie kwa jicho pevu, ni matapeli, kuna picha za spika wa bunge akijihusisha nao na kuwapa hekari zaidi ya 700 Dodoma,
Pia wamekuwa wakimtaja waziri wa...
Afrika inawezekana tajiri akalala tajiri akaamka maskini.
na maskini anaweza akalala maskini akaamka tajiri. hayo yote yanawezakana afrika kiurahisi. afrika ni kawaida unakuta mtu anahela nyingi...
Hivi ile mvua tunayowagawiaga wakenya walishakuja kuchukua au wanataka tuwapelekee!?Waambieni walipe kodi na wadai risiti tena ya efd's wasilete ujanja ujanja hii ni tz mpya kabisa
Habari wana jamvi, niende kwenye mada. Ikiwa kuna mtu yeyote aliewahi kuishi ujerumani kwa kazi yeyote au bila hata kazi, au kufika tu mnaitajika. kipaumbele ni kwenu.mnaitajika ujerumani kwa...
1: Mifuko ya Plastiki. Hii ni mara ya Kadhaa.
2: Mateja na wapiga debe. Huyu nakumbuka alikiwa Lowasa.
3: Ombaomba Jijini DSM. Makonda.
4: Mabus ya watoto wa shule kuwa na Mikanda baada ya wale...
Askofu Mkuu wa Kanisa la Agape Wuema Sanctuary Ministry International Tanzania Ltd, Martin Gwila na wenzake leo Alhamisi wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Morogoro...
Hi ni Moja ya Nasaha aliyotuachia Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere na ili Kumuenzi kama muasisi wa taifa hili ni vizuri tukazishika nasaha zake
Kumekua na Mijadala mingi sana hasa kwenye...
Kwakuwa makampuni ya IPP ni makampuni ya kizalendo basi watanzania hatuna budi kuyapigania ili yasimame yasianguke
Na kwa utamaduni wa kitanzania mwenye mali akifariki kampuni nyingi hufa kifo cha...
Serikali imekataza mifuko ya plastiki kuanzia tarehe 1 JUNI 2019. Faini au Vifungo vitatolewa kwa atakayezalisha, kuuza au kutumia mifuko hiyo. Achana nayo leo!
Habari wana jamvi wenzangu na ambao mko kwenye mfungo hongereni na poleni kwa swaum kua kali.
Binafsi wakati namaliza shule na kuja jiji la watu yaani Dar kwa mara ya kwanza nilifikia kwa kaka...
Dar es Salaam. Mtu aliyekuwa akisakwa nchini muda mrefu kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya, Brian Bricket Morgan amekamatwa kwa tuhuma za kuhusika na dawa hizo aina ya heroin...
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imezidi kutoa tahadhari ya kuwepo kwa ugonjwa wa homa ya Dengue nchini hususani katika Jiji la Dar Es Salaam na Tanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.