Hawa ndio maaskofu sasa tunaowahitaji

Mtu ukiwa huna hofu na imani yako, unakuwa huru kutoka mahali popote na kuzungumza chochote bila kuwa na ulinzi mkali wala wapambe

Hawa wanaojiita maaskofu ni ufisadi mtupu

Unakuta jitu lina bunduki, mabodigadi kana 10, heavy protected beast nikimaanisha gari ya ulinzi yaani utafkiri yupo kwenye mkutano wa kupatanishwa wa UN



Usasa umeingia sana makanisani..wakiulizwa watasema kujihami hahahha
 
Back
Top Bottom