Kondomu zimeadimika sana, tatito nini?

Kondomu zimeadimika sana, tatito nini?

Mi nipata za Burundi ,znaitwa class Prudence vna chanika tu,
 
katika kitu ambacho nikikosa gheto hata za akiba nakosa raha ni condom..

mimi kavu kavu siendi hata kama nakupenda vipi.. nimejifunza kuwa selfish maishani.. hili gonjwa linatesa sana kunywa dawa zake... na bia haziruhusiwi kwenye dozi..

mimi navyopenda bia. nimeamua tu safety first
 
Juzi kati niliuza gemu, nimezunguka mtaan mpaka jasho likanitoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kaka kuwa selfish na afya yako.. kosa la kuuza gemu usilirudie tena maishani.. ni kosa kubwa sana hilo kwa kijana mwenye ndoto.. hawa dada zetu akili zao ndogo na hawajali afya zao.. ndio tunawapenda ila mwanaume unapaswa kuwa na msimamo kama kichwa cha mahusiano.. wanawake wakilegea tu hawajal afya zao.. sasa huko alipopita zamani unapajuaje?

mimi bila condom najifanya naumwa tumbo mzigo sili... na hata boda boda high way sipandi hata iweje.. safety first
 
Ila kweli maana kuna demu tulichezeana nyege zikampanda akataka tupige show kavu ila msimamo wangu ulisaidia maana baadae alikuja kuniambia alikuwa kwenye danger na kibaya zaidi alikuwa mwanafunzi wa Advance
 
Back
Top Bottom