BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 786
GWAJIMA UTALAANIWA KWA AIBU ULIYOITIA FAMILIA YAKO NA KANISA KWA UJUMLA. HUNA MAADILI YA KITANZANIA KABISA LAKINI ZOTE HIZO NI LAANA MUNGU AMEKUPA. NA BADO UTATEKETEA SANA KWA MAOVU YAKO
Haya bhana ukweli siku zote hauchangamani na uongo... Ukweli utajulikana tuVideo feki ile
Gwajima amewalisha maharagwe nyie wafuasiVideo feki ile
Gwajima amewalisha maharagwe nyie wafuasi







Nyie ndo wale mlionyweshwa jiki kule Zambia na mchungaji mkaambiwa mtaenda mbinguni mkafa kama kuku wenye kideri.Fake Video
"Asiye na dhambi awe wa kwanza kumtupia jiwe"GWAJIMA UTALAANIWA KWA AIBU ULIYOITIA FAMILIA YAKO NA KANISA KWA UJUMLA. HUNA MAADILI YA KITANZANIA KABISA LAKINI ZOTE HIZO NI LAANA MUNGU AMEKUPA. NA BADO UTATEKETEA SANA KWA MAOVU YAKO
Video ni ya gajwima ila mkono ni wa baunsa. Case closed
Sio yake au wewe ndiye yule demu aliye kuwa analiwaIle video ni ya Gwajima na asipopambana atakua mateka wa maadui zake. Imeachiwa ili watu wamsahau Mdude.
Nia ni kuitumia karibu na uchaguzi.
Hata lile umbo mi nakataa sio lake. Kwanza Gwaji mfupi na ni kembamba. Yule jamaa anaonekana ni mwili wa kijana kabisa na amejazia. Ukiangalia vizuri jamaa ana six packs! Mi simtetei Gwajima ila nakataa kudanganywa kama mtoto. YULE SIO GWAJIMAunajua hata mimi pale kwenye mkono nimestaajabu, kweli Gwajima anaweza kua na mkono wenye misuli kiasi kildm ?!