Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 36,361
- 84,402
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Kwanza serikali inabidi iwashukuru wanawake wanaokula nauli za wanaume wajinga wajinga. Iwashukuru kwa kuwanyoosha wanaume wasiojielewa.
Kwa sababu hiyo ndio namna pekee ya kuwapa akili.
2. Kama Mimi ndiye ningekuwa kwenye power, Kwanza ningewaambia wanawake waendelee kuwanyoosha wanaume mabwege, niceman, wasiojielewa, wasiojitambua. Na mwanaume yeyote akijizama data akanyanyua mkono kuwapiga atanyea ndoo nyuma ya nondo.
3. Oooh! Tunamsomesha Mwanamke. Ulilazimishwa? Huna ndugu wa kusomesha mpaka usomeshe watoto wasiokuhusu. Bwege wee!
4. Wadada mkipata hizo nafasi zitumieni. Wanyoosheni wajinga ili ziwakae Sawa.
Mwanaume unakuwa na kiherehere cha kijinga kama punguani.
5. Kuna ujinga mwingine tena. Mtoto sio wako. Umemkuta single mother anamtoto. Umeamua kumsomesha au kumlea. Hiyo ni wewe. Vipesa vyako havina uwezo wa kubadili ukweli kuwa huyo sio mtoto wako.
6. Akikua au Babaake anauwezo wa kumchukua muda wowote.
Kingine ukiachana na mkeo unapoteza mke na mtoto huyo wa kambo.
Hivi mpka Hilo unataka ufundishwe na serikali mjinga wewe?
7. Mtu sio mkeo unamtumiaje nauli? Kwmba unanyege Sana kuliko yeye au?
Kwamba yeye hakutaki au?
8. Mbona sisi Watibeli hao mademu mnaowatetemekea na kuwaona pisikali wanajileta wenyewe na nauli zao. Mbona hatuwabembelezi na wanakuja wenyewe?
9. Serikali haiwezi kuingilia maujinga yenu. Zaidi hao wanawake wanaisaidia serikali kutoa huduma ya elimu bure ili kuondoa akili mgando kama zenu.
10. Nikamsikia Haji Manara akimuunga Mkono Baba Levo kwa kusema;
Ati kumbe kabla hajatumiwa nauli huyo mwanamke anatumiwa na hela sijui ya saluni, sijui nini na nini. Mamaye!😂😂
11. Afu unakuta mamaake na huyo jamaa amechoka kajichokea huko kijijini na wanamhisi mchawi kisa kuchoka, kupikia kuni, kuvaa nguo na kanga moja kama sanda.
12. Babaake huko kijijini ananuka harufu ya shida, nguo zimechoka kwa umaskini alafu litoto lake ni wewe linatoa kwa makahaba huko mjini pesa za kusuka. Aiseeh! Bora wanawake wawanyooshe aiseeh
13. Mnataka serikali iwaonee huruma ili mrithishe maujinga yenu kwenye kizazi kinachofuata?
Lazima mnyoroshwe.
14. Sisi Watibeli hela hatutoi. Kwa sababu sisi sio wajinga.
Kuna Majinga yatasema oooh! Ninyi hamna hela. Sawa. Ninyi kama mnahela mbona mnalialia zikichapwa na wanawake wajanja?
15. Sasa umkute huyo mwanaume anayetuma nauli anayekuambia anahela mwangalie alivyochoka,
Sura imekakamaa haina mafuta, haina virutubisho, Hali chakula cha kueleweka Kila Siku maugali.
Maziwa hanywi, nyama hali mpaka sikukuu. Kama limelogwa hivi.
16. Njoo ukutane na Mtibeli, miaka imeenda lakini kama kijana wa miaka 20+ hivi.
Kwa sababu ya kujithamini, kujipenda,
17. Kijana, kuliko hiyo pesa uibiwe. Nenda pale Ubungo chukua maziwa lita 10 haizidi elfu 15 kaweke kwenye fridge. Kungwa Kila Siku Lita moja.
18. Hiyo hela ya kusuka elfu 50, nenda ple shekilango kachikue kuku wawili, katakata weka kwenye jokofu Kula.
19. Hiyo Pesa nunua mafuta ya ngozi mazuri. Paka. Unawiri.
Alafu uone kama hao mademu utatuma nauli hata Siku moja.
20. Usiwe lijinga. Hata wanawake Wana nyege kama wewe. Why wewe ndio utoe pesa pekeako?
Usijetumia maneno ya brainwashed uliyopewa kwamba wewe ni mwanaume unatakiwa uteseke.
Wanaotesekaga ni mabwege na malofa kwa sababu ya ujinga na sifa za kijinga.
Mimi nimemaliza.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam