Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

■Majadiliano ya kuongeza thamani ya mazao na uzalishaji wa viwandani ■Ushirikiano katika sekta za nishati, madini na miundombinu ■Kuimarisha mahusiano ya kiuchumi kwa manufaa ya wananchi.
2 Reactions
6 Replies
77 Views
"Hofu ya watu watanionaje" imewachelewesha watu wengi sana kutimiza ndoto zao za thamani. Watu wengi wana ndoto kubwa,mawazo makubwa,vipaji na uwezo wa kufanya mambo makubwa sana. Lakini...
1 Reactions
0 Replies
120 Views
Nitaandika kwa mtazamo wa kiroho zaidi...nje ya siasa hasa nyakati hizi za uchaguzi...Ni juu ya vimiminika hivi vitatu kwenye mwili wa mtu hai..sio mfu...!!! MACHOZI Machozi ni aina ya...
10 Reactions
46 Replies
7K Views
Sio mapenzi, sio pesa sio Nini, jitahidi sana chozi la mtu lisidondoke wewe ukiwa chanzo. Una umiza hisia za mtu au watu, unajitapa we bingwa wa kuumiza watu kwenye mapenzi, una dhutumu una ibia...
19 Reactions
67 Replies
961 Views
Shetani anatumia mbinu kubwa 10 kutuangamiza Maandiko katika kitabu cha Zaburi 119:105, yanasema: “Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu”. Hakika tukilifahamu Neno la Mungu...
1 Reactions
1 Replies
338 Views
Kuna filamu ya Kikorea ya mwaka 2023, iitwayo Unlocked, inayotoa funzo kubwa kuhusu usalama wa kidijitali na hatari za uhalifu wa mtandaoni. Filamu inamuhusu Nami, aliyempelekea fundi simu yake...
16 Reactions
14 Replies
974 Views
Kama mmoja wa watumishi wa afya katika hospitali ya serikali, kuna jambo ambalo nimekuwa nikitamani wananchi walielewe kuhusu hali halisi tunayoipitia sisi tuliopo mstari wa mbele wa utoaji...
4 Reactions
1 Replies
116 Views
Akuna mkimbizi wala ombaomba anaekwenda kuomba kustiliwa kimaisha asa akiwa binafsi kwenye nchi ya CHINA, URUSI WALA SAUDIA pia hata hapa Afrika kwa weusi sijawai kuona mtu akinufaika moja kwa...
4 Reactions
6 Replies
205 Views
Anonymous (3827)
1. Vikundi vinapitia changamoto ya kusuasua kwa muda mrefu. Tulicheleweshwa wakati wa kuomba mikopo, na sasa tena tunazungushwa wakati wa kutoa fedha. Pesa zinatolewa kwa awamu, lakini tayari...
0 Reactions
0 Replies
88 Views
Anonymous
Suala hili kiukweli linaumiza sana. Kulikuwa na amri ya kubomoa Kitalu namba 13, ambacho kiko upande wa nyuma na kilikuwa ni eneo la wazi lililovamiwa. Nyaraka zote za serikali, maamuzi ya...
3 Reactions
0 Replies
185 Views
Idara ya Uhamiaji nchini imefafanua kuwa huduma zake za kimfumo zimerudi katika hali ya kawaida baada ya changamoto iliyosababisha ucheleweshaji wa baadhi ya maombi ya wananchi, na kueleza kuwa...
0 Reactions
3 Replies
247 Views
Diwani wa kata ya Mbingu Halmashauri ya Mlimba Nestory Peter (mwenye shati jeupe) na wenzake 10 wakiwa kwenye gari la polisi wakipelekwa katika mahakama ya Wilaya ya Kilombero kujibu shtaka la...
1 Reactions
5 Replies
658 Views
  • Featured
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, amesema kuwa nchi bado iko salama dhidi ya mlipuko wa ugonjwa wa Ebola unaoripotiwa katika baadhi ya nchi za Afrika. Akijibu swali la Mbunge Asha Moto wakati wa...
0 Reactions
2 Replies
512 Views
Kawe Ukwamani, licha ya kuwa eneo lenye shughuli nyingi za biashara, maduka yanayotoa huduma mbalimbali zinazotegemewa na jamii pamoja na maeneo ya vyakula, linakabiliwa na changamoto kubwa ya...
2 Reactions
15 Replies
358 Views
Midoli ya kike yenye kuonyesha viungo vya uzazi vya mbele na vya haja kubwa imekuwa ikizagaa madukani na kuvalishwa chupi na mingine sidiria pasi na kusahau shanga! Midoli hiyo pia ambayo ipo...
6 Reactions
54 Replies
869 Views
Helooooh Swali tu hilo na naomba moderator hasifute wala asibadili kichwa cha habari Chama kikifutwa na msajili wa vyama mtafanyaje? Chadema kikifutwa kwa kanuni za nchi ninyi mtafanyaje...
2 Reactions
61 Replies
522 Views
Hivi hawa jamaa wanajiamini sana! Kiasi kwamba wanaweza kuvunja sheria za mamlaka. Hapa maeneo ya Zakhem Mbagala kuna maroli yanapaki kuanzia service road, barabara ya waenda kwa miguu, mpaka...
4 Reactions
6 Replies
207 Views
Hellow Ni wazi naona chama cha CHADEMA kinaenda kufa. Kwa technic ya CCM wenyewe kujifanya Kama wana mgawanyo ili kuanzisha chama kipya au kununua chama katika vyama viliviopo ili...
3 Reactions
18 Replies
369 Views
Starehe ya ubongo wangu na kilevi Cha kwanza ni kusoma.cha pili ni kulakula Cha tatu movie na mziki.vingine vitafuatia. Mie Niko addicted na kusoma tangu Niko mdogo hata kabla sijaanza shule.hata...
27 Reactions
140 Replies
2K Views
Eti wakuu kuongea kwa kuchanganya Lugha 2 kwa pamoja, Kiswahili na kiingereza, hiyo huwa inaonesha usomi wa mtu, ujanja au mtu anakuwa hajui lugha zote 2 hivyo anachanganya kupata misamiati ili...
9 Reactions
35 Replies
613 Views
Back
Top Bottom